Mwanamke atakayepata Marks kuanzia 75% anaweza kuwa Mke wangu

Kwamba awe mzur ana tabia nzur anaweza lea watoto alafu hajaolewa? Wew umpate mtandaon. Broo unatumia ubongo tulonao binadam wa kawaid?
Kwa hiyo hakuna mzuri mwenye tabia nzuri anayeweza kulea watoto halafu hajaolewa?
 
Kweli hicho kijiwe nongwa,acha ukutane na wenye nongwa wenyewe, mtaelewana tu.Hadii waseeemee😁
 
Hakuna mwanamke Yuko interested na ulichoandika anaangalia kama una Hela huna za kumtunza kafie mbele huko na vigezo vyako
Jamaa anajionaga special sana humu JF na biashara yake iliyobuma ya kuuza vitabu vya hadithi za uongo. Ngoja nimuulize binti Kimoso kama ana hizo sifa. Alafu uache kumuweka mtandaoni kila siku usije Anza jiliza na wewe.
 
Jana umesema haujajipata kimaisha, halafu leo unaandika gazeti lenye vigezo vya mwanamke umtakaye.

Iwapo wewe hujajiandaa kuwa mume, ni kwanini unaweka vigezo na masharti ya mwanamke umtakaye?

Kama hauko tayari kuwa baba, kwanini utake mwanamke aliye tayari kuwa mama?
 
Jamaa anajionaga special sana humu JF na biashara yake iliyobuma ya kuuza vitabu vya hadithi za uongo. Ngoja nimuulize binti Kimoso kama ana hizo sifa. Alafu uache kumuweka mtandaoni kila siku usije Anza jiliza na wewe.
Dah,mshikaji punguza makasiriko....we unadhani anatafuta mke kweli?.
 
Wewe wa kwako uliyemficha chumbani na bado wahuni wanabokoa kisa humridhishi kitandani Na bado unashindwa kumuacha kwa sababu unajua huna uwezo wa kupata Mwanamke mwingine. Huyo mganga aliyekuambia kutokumpost mkeo ndio hatamegwa na hutolia mbona wakwako Watu wanajipigia?
 
Nimekwama hapo no 4,kwenye kipengele (ii)...

Kipengele number Moja Kuna virgin pills nitatumia

.nadhani nimescore A plus...nije PM?

Virgin sio lazima mrembo. Ukiikosa bado unauwezo wa kufikisha 75.

Njoo pm Mkuu.
 
Tangu ulipoandika eti kama ukimfikisha mwanamke kileleni utamtawala ipasavyo ndipo niliacha kusoma mada zako zinazohusu mahusiano!!!!

psychologist waliacha kumtumia Binadam kama case study coz ni dynamic sana,Kila siku ana demand vitu vipya vipya na anaigiza tabia ili apate kitu fulani!

undefined kabisa homo sapiens!!
 
Dah,mshikaji punguza makasiriko....we unadhani anatafuta mke kweli?.

Huyu ni mwehu Kiungopunda anavyojiona ni duni na jinsi wanawake wanavyompeleka mpaka ameathirika kisaikolojia na hawaamini tena anafikiria kila mwanaume ni kama yeye.
Hawa ndio wale tunaowaambia watafute pesa ili wabusti self-esteem Yao.
Bila pesa wanajiona sio lolote sio chochote na hutambulika kama Wanyonge tuu.

Sisi Watibeli hata bila pesa bado tupo juu na tuko na heshima popote tutakapokuwa
 
Mwanamke anayeitwa mkeo au mpenzi wako kama humkojozi wewe kwake sio lolote wala chochote. Huwezi mtawala.

Waulize wenyewe kama wewe unashindwa kujiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…