Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Unawezaje kumnunulia gari lakini unashindwa kumlipa 1000? Hiyo kwa kweli ni dharau.

Amandla...
 
Sawa, ila mkumbuke kutoomba kwa mnaemdai dai, kama hamtaki kuhesabu anavyowagaramia baada ya kumkopesha.
Tusiwaombe kivipi πŸ™„πŸ™„Mungu mwenyewe alijua Adam hataweza kutumia pekeake, akamletea Eva aje ale. Hela zenu tunakula ila hela zetu hela zetu.
 
Kuna mmoja toka 2006 anasema anadai 120,000/- kila nikimsabahi anasema nakudai nikasema Mimi sikumbuki,mwingine Yuko Dubai Leo hii namtafita whatapp anasema nakudai nilikulipia malipo ya masomo bei gani anasema 100,000/- nikamwambia sikumbuki,these creature
 
Buku tu umeandika mpaka uzi.. duuh πŸ€”
 
Wanawake wa ajabu sana, jamaa alimfungulia mpenzi wake genge kubwa na likachangamka sana. Cha ajabu mnunuzi wa mboga ndiye anaemfaidi huyo mwanamke kuliko huyo mpenzi wake.
 
Dawa ya deni kulipa acha janjajanja kutoana dinner, kununuliana zawadi sio makubaliano yetu..!!
 

Mzee baba unaanzaje kudaiwa na "demu"?
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
Kazi kweli kweli
 
Wakati unampa laki tatu ungemwambia laki moja ya deni, hizo mbili umempa msaada.
 
Umenikumbusha nikadai deni langu la 180,000 japo juzi nilipewa 1m lakini ilikuwa ya issue nyingine haihusiani na deni langu.
Wababa sisi tunapenda mtimize ahadi zenu hata kama utanipa hiyo hela kisha tuitumie kununua mabati ama chakula ila utaje ni lile deni langu.πŸ˜€πŸ˜€
 
Dawa ya deni kulipa acha janjajanja kutoana dinner, kununuliana zawadi sio makubaliano yetu..!!
Hapana, ni namna pia ya kuangalia kama mna akili kichwani, kumbuka naweza kukutoa nje kwa gharama mara tano ya deni lako, fedha ambayo ningelipa deni lako na chenji ibaki, na sio kwamba unanilazimisha nikutoe. Kwa hiyo unatakiwa kuufikirisha ubongo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…