Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Anajua atapata zaidi ya hiyo. Kuna kugawana maliYes, alisema kwa kinywa chake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajua atapata zaidi ya hiyo. Kuna kugawana maliYes, alisema kwa kinywa chake
Unawezaje kumnunulia gari lakini unashindwa kumlipa 1000? Hiyo kwa kweli ni dharau.Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Tusiwaombe kivipi 🙄🙄Mungu mwenyewe alijua Adam hataweza kutumia pekeake, akamletea Eva aje ale. Hela zenu tunakula ila hela zetu hela zetu.Sawa, ila mkumbuke kutoomba kwa mnaemdai dai, kama hamtaki kuhesabu anavyowagaramia baada ya kumkopesha.
Pokea simu pokea simuuuu 😹p
Simu🤳📱 ziite mmyPokea simu pokea simuuuu 😹
Kuna mmoja toka 2006 anasema anadai 120,000/- kila nikimsabahi anasema nakudai nikasema Mimi sikumbuki,mwingine Yuko Dubai Leo hii namtafita whatapp anasema nakudai nilikulipia malipo ya masomo bei gani anasema 100,000/- nikamwambia sikumbuki,these creatureWakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Uzi ulitakiwa kuishia hapa.Ni suala la common sense sio reasoning mtu kalipia mtoto wako ada 1m, ni kukosa akili, kumdai sh 1000 ulio mkopesha.
Kama buku yake alikuwa anatak kuchezea tatu mzuka je?elf 1.
Kwani yuko wapi kwamza? Tuanzie hapo. 😂Lipa deni bana acha bla bla......
Wakuu,
Hawa viumbe mungu kawaumba tofauti,
Hata umfanyie shopping na kumfurahisha kwa gharama yyte ile lakini kama hukumlipa hela anayokudai hata kama ilikua ni elf 1. Hamuelewani
We mpe mnunulie simu, mnunulie gari lakini kama anakudai Bado hujasema.
Chamsingi anza kulipa deni lake ndo mengine yaendelee
Kazi kweli kweliAta umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
😹😹😹😹 nipokee simu au sioKwani yuko wapi kwamza? Tuanzie hapo. 😂
Wakati unampa laki tatu ungemwambia laki moja ya deni, hizo mbili umempa msaada.I say, uko sahihi 150% Kuna dada niliomba aniazime hela yake nikiwa nimekwama, laki moja. Ikanisaidia sana. Sasa kuna siku nae akaja kunililia shida, kabla sijamrudishia ile laki. Nikampa laki tatu, ambayo haikuwa mkopo, nikijua narudisha hisani. Kuna siku akanifuata ananiuliza lini nitamrudishia laki yake niliyomkopa?😳
Nilimwomba samahani nikamrudishia. Siku alipokuja kuomba tena msaada ndio nikampasukia, kwamba hana akili sawasawa, nikamkumbusha juu ya laki yake na laki zangu tatu. Nikasema iwe mwisho kuniomba msaada, na sintaomba tena msaada kwake.
Actually nilitaka pia nim-test, kama ana akili kichwaniWakati unampa laki tatu ungemwambia laki moja ya deni, hizo mbili umempa msaada.
NDio utaratibu huo nashangaa una ukiuka😹😹😹😹 nipokee simu au sio
Hapana, ni namna pia ya kuangalia kama mna akili kichwani, kumbuka naweza kukutoa nje kwa gharama mara tano ya deni lako, fedha ambayo ningelipa deni lako na chenji ibaki, na sio kwamba unanilazimisha nikutoe. Kwa hiyo unatakiwa kuufikirisha ubongo wakoDawa ya deni kulipa acha janjajanja kutoana dinner, kununuliana zawadi sio makubaliano yetu..!!