Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Na siku akiudhika ni aina ya mtu ambae atavidai ingawa anasema alimpa. Hata nyumba na gari bila shaka zipo katika jina lake!

Amandla...
Hana uwezo wa kuhonga gari wala nyumba huyo anayeshindwa kulipa buku tu.

haelewi kuwa kulipa deni hata la mia mbili ni "principal" siyo uwezo.

Hana class huyo.
 
Basi na wewe umdai. Au ipunguze katika pesa unazomdai. Akikuambia alijua umempa basi na wewe unamwambia unajua alikupa. Lakini usikatae kumlipa.

Ili kuepusha shari ni vyema umrudishie tu hiyo alfu. It is not worth it kugombana kwa sababu yake. Labda kama ana matatizo mengine makubwa kuliko hilo.

Amandla...
 
Hana uwezo wa kuhonga gari wala nyumba huyo anayeshindwa kulipa buku tu.

haelewi kuwa kulipa deni hata la mia mbili ni "principal" siyo uwezo.

Hana class huyo.

Leo binti tumekubaliana! Kweli Allah mkubwa.

Amandla...
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
This is why its hurts much to be insulted that your acting like Woman….!😂😂😂😂😂
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
aisee nimeshangaa kwa kweli!!

😎
 
Usiishi na Ke kama unavyoishi na Me.

Hao hawajui kuishi kisela kama sisi mkuu.
Kuna ile mchizi anakupa ela ila anajua fika hutomlipa ila na yeye akilia shida unafanya kumsaidia

She hawanaga hiyo, utaitwa tapeli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…