Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Mwanamke hata umtoe Out, mnunulie zawadi za bei, Umfanyie shopping lakini kama anakudai Buku yake Bado hamtaelewana

Na siku akiudhika ni aina ya mtu ambae atavidai ingawa anasema alimpa. Hata nyumba na gari bila shaka zipo katika jina lake!

Amandla...
Hana uwezo wa kuhonga gari wala nyumba huyo anayeshindwa kulipa buku tu.

haelewi kuwa kulipa deni hata la mia mbili ni "principal" siyo uwezo.

Hana class huyo.
 
Kwa sababu mara nyingi nae anasema baby naomba unikopeshe hela ya ada ya mdogo wangu kaka yetu kachelewa kunitumia akinitumia nitakurudishia, na harudishi hata siku moja. Na mie nikasema hebu nikopeshe alfu nimpe huyu kijana katufutia windscreen, akanidai!
Basi na wewe umdai. Au ipunguze katika pesa unazomdai. Akikuambia alijua umempa basi na wewe unamwambia unajua alikupa. Lakini usikatae kumlipa.

Ili kuepusha shari ni vyema umrudishie tu hiyo alfu. It is not worth it kugombana kwa sababu yake. Labda kama ana matatizo mengine makubwa kuliko hilo.

Amandla...
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
This is why its hurts much to be insulted that your acting like Woman….!😂😂😂😂😂
 
Ata umjengea nyumba ya 100m ila kama ulimuahidi kumnunulia kiato cha 15k, hatakuelewa, mpaka umpe hiyo 15k anunue kiato, wana wake wengi wako ilogical.
aisee nimeshangaa kwa kweli!!

😎
 
I say, uko sahihi 150% Kuna dada niliomba aniazime hela yake nikiwa nimekwama, laki moja. Ikanisaidia sana. Sasa kuna siku nae akaja kunililia shida, kabla sijamrudishia ile laki. Nikampa laki tatu, ambayo haikuwa mkopo, nikijua narudisha hisani. Kuna siku akanifuata ananiuliza lini nitamrudishia laki yake niliyomkopa?😳

Nilimwomba samahani nikamrudishia. Siku alipokuja kuomba tena msaada ndio nikampasukia, kwamba hana akili sawasawa, nikamkumbusha juu ya laki yake na laki zangu tatu. Nikasema iwe mwisho kuniomba msaada, na sintaomba tena msaada kwake.
Usiishi na Ke kama unavyoishi na Me.

Hao hawajui kuishi kisela kama sisi mkuu.
Kuna ile mchizi anakupa ela ila anajua fika hutomlipa ila na yeye akilia shida unafanya kumsaidia

She hawanaga hiyo, utaitwa tapeli.
 
Back
Top Bottom