FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hana uwezo wa kuhonga gari wala nyumba huyo anayeshindwa kulipa buku tu.Na siku akiudhika ni aina ya mtu ambae atavidai ingawa anasema alimpa. Hata nyumba na gari bila shaka zipo katika jina lake!
Amandla...
haelewi kuwa kulipa deni hata la mia mbili ni "principal" siyo uwezo.
Hana class huyo.