Mwanamke hawezi kukutii kama hakupendi hata uwe tajiri namba moja Duniani

Usilolijua mtiberi taikuni Mzee wangu hakuna mwanamke anaekupenda wewe oa tu mwanamke ataeleta watoto wazuri chagua shepu nzuri rangi ya mtume usije ukaanzisha ukoo wa nyani

😀😀😀
Vijana WA Forex mmeshaanza kuwasili.

Kama hujawahi kukutana na Wanawake wenye upendo omba msaada tukusaidie Mkuu.

Unaweza OA MKE mzuri na bado ukatoa kizazi cha ngedere
 
Well said, No matter how well you treat a woman, she will always remain loyal to her feelings.
 
Unatofautiana na mimi kwa kipi hapo mkuu, mbona kama tupo pamoja.

Kuna ant yangu anamuuguza mumewe huu mwaka wa 2. Na vitu vingi anasimamia mwanamke.

Ndo huo upendo ninaoongelea, upo ila sio kwa wanawake wote mkuu.
 
Nkaushauri soma vitabu viwili (One Thousand and One nights} "Alf lela u lela" na "The perfumed Garden".

Ukisoma vitabu hivyo utaelewa kuwa mwanamke hawezi kukutii hata uwe mfalme unaemiliki kila kitu kama humchapi fimbo akachapika.
Upendo huanza hata kabla ya kuchapwa hizo fimbo. Upendo hauna sababu maalum.

Ndio maana kwenye ulimwengu wa mizagamuo kila mtu ana vipaumbele vyake.
 
Mume, mpende mkeo na mke mtii mumeo huu ndio msingi wa maisha.
 
hata asipo nipenda wote tutakufa

Over.
 
Kweli ww Ni taikoni una madini hatari...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…