Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Kumbe ulitaka kuendelea kumchuna na hutaki kuzaa
Mapenzi ya dhati na hutaki kuzaa nae maana yake nini
Bora hata amekushtukia baada ya miezi 2 kapime vvu
 
Maneno matamu mnayokuja nayo huwa yanatupumbaza
 
Inasikitisha sana
Pole my dear...
Ipo siku utapata wa kukupenda kweli na hii yote itakua historia ila cha msingi kwa sasa ni kutulia acha kuharakia mahusiano baada ya mahusiano...ukiachwa mahali kaa hata miaka 2 peke yako au mwaka...upe muda mwili na akili kukaa vzr...then akija mwingine chuja kwanza kabla hujarukia kumpa mwili wako...mbona wakaka wenye malengo wapo?.mnakwama wapi?.mshirikishe Mungu afanye yeye naamini atafanya....
 
Asante dear, nitafanya hivyo
 
Kwani umepatwa na nini mbona unalalamika sana wiki hii binti yangu?
 
Ina maana huwa inafikia mpaka mwili unachoka 😀
 
Chapa ilale inaitwaga chapa ilale.

Alisikika kijana mmoja wa hovyo akitamka hayo maneno 🤔🤔
 
Ila ki ukweli nimeona huruma sana kwa waifu material
Nadhani ww ni mdada mpole unaekutana na bad boys...
Nakuombea heri my dia...
Siku ukimpata uje inbox nikuchangie mchango wa sherehe yenu...
Shukrani dears, nimejifunza kwasasa sitakurupuka tena na ntajipa muda, nina imani Mungu atanipa mtu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…