Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Aisee! Pamoja na kuweka black & white bado hukueleweka. Wanawake wanahitaji watumie logic hata 10%
 
Sema mnakuwaga na **** tamu sana,kuna mmoja mfupi kichwa kubwa aloo
 
Mimi niwe kichwa ngumu kweli,wewe utakuwa nani?🤔

Wewe sema umekutana na kiboko yako nakukata hoja zako na majibu ya kukutafakarisha. Huwezi sema mtu anaongelea matamanio yake halafu idadi kubwa ya wanaume wanaweza kurelate na anachokisema.
Kiboko yangu uwe wewe kwa hoja zipi ulizonazo mtu mwenyewe ukijibiwa kidogo tu unaanza kulialia eti mi mbishi, sijui kwanini unapenda kujipa umuhimu ambao hauna yani kwa uspesho gani ulionao, ninyi endeleeni tu kudhani mnawapiga wanawake viboko na kwamba eti watabadilika kumbe ndio kwanza wanazidi kuwa masugu sisi tumekaa pale acha tusubiri
 
Kudadeki kuna watu ni wataalamu sana wa ulaghai,hapo demu mwenyewe alijiona amepata hata ungemshauri chochote wakati huo hawezi kukusikiliza
 
Naomba unisamehe maana this is me ... Ila shida yenu hata mpigwe matukio kuonyesha Mimi si wako Bado mnakomaa na kunihonga au kunitishia kujiua... Am really sorry momie
 
Siku hizi wanaume sio mabwege kama zamani mkuu, japo wapo ila sio wengi.

Mabinti wa siku hizi hamjafunzwa, hamjui kuishi na wanaume. Hujui huyu yukoje na niishi nae vipi..
Sijui ndo umjini mjini mwingi ila wengi ni hovyo kabisa.

Na kingine binti wa miaka 20 kudate na kijana wa miaka 20 ama 21 halafu utegemee atakuoa, ni uchezeaji wa hisia huo.
 
Ila boda boda umewapa sifa za bure tu hao hawakataagi mtu
 
Nakubaliana na wewe mkuu lakini huku mwisho kusema kuwa ukidate na mwanaume aliyekuzidi mwaka mmoja hawezi kukuoa ni siyo kweli wapo watu wengi tu wa age sawa na wanapendana na kuoana, pia unaweza kudate na mtu amekuzidi miaka mingi na akaishia kukuchezea tu, hayanaga formula muhimu upate mtu sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…