Mwanamke kama haumpendi unaingia kwenye maisha yake kufanya nini?

Ulianza vizuri ila huku mwishoni hizi emoji hazikuwa na umuhimu
 
Kimsingi hata mwanamke alie kwenye ndoa anachezewa vile vile hulka ya mwanaume ni kupenda ngono na wanawake tofauti tofauti kuona mumeo hachepuki ni amekuficha tu.kudumu kwene mapenzi ni kuvumiliana ukimvumilia na kujibebelembeza kwa mwanaume yoyote ata kama ana permanently love wake ata wewe unakua permanent wake vile vile.
 
Unaweza ukavumilia, ukajibembeleza na bado ukachinjiwa baharini
 
Ni kwa asilimia ndogo na sio umri sawa ila ni umri gani??

Kuna umri mnakua hamjajitambua, na kama nyote ni wapenzi kutoboa ni ngumu. Tofauti na ile nyote mko over 25 au Me ndo mkubwa zaidi.

That's why mapenz ya kichuochuo huwa hayafiki mbali πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…