Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Kwa wasitumie condom??Wanaume wengi wamelazimika kuoa wanawake sababu ya mimba zilizotegeshwa na hao wanawake [emoji108]
Na Ndiyo maana wakishaishi pamoja baada muda Mwanaume anachepuka.
Kwa nini hutumii condom??Yani ndo akijua humtaki au unaitaji kuendelea na maisha yako anajipatisha mimba
Kuepuka hiyo mikanganyiko yote itabidi na abortion iruhusiwe.Kama alizaliwa bila ridhaa automatically ambaye hajashirikishwa anayohaki ya kuwa na options mbili.
Lakini lazima aliyefanya uhuni huo apewe adhabu
Kwa nini hawatumii condom??Wanawake wengi wanapitiia changamoto ya mfumo wao wa hedhi ukiachana na wachache wanaoamua wenyewe kuibambika, wangeanza kupewa elimu ya mzunguko wa siku zao kwanza, unakuta dame analalamika mi siku zangu zipo tofauti mwezi ulopita nimeona tar14 mwezi huu tar21 as if anataka zijirudie tar14 hiyohiyo kila mwezi mpaka unamshangaa
Kwa nini hamtumii condom??Yaani hawaelewi kabisa maana ya mzunguko. Mtu anataka iangukie tarehe hiyo hiyo kila mwezi badala ya kuzingatia interval kati ya period moja na nyengine.
Kwa nini hamtumii condom??Ni kweli, mabinti wengi wanapata mimba wala hawapendi, ila hawajui kabisa mizunguko yao ipoje, mtu ana mzungguko wa siku28 anahesabu kama mtu wa siku30, lazima siku moja itanasa tu
Ishu inakuja kuwa kwa mahesabu yako wewe ulopiga unaona upo siku safe kusex lakini kumbe kimahesabu upo danger days, so unashtuka after a week unaamka umechokachoka huelewi ndo tayari hivyo
Kuepuka hiyo mikanganyiko yote itabidi na abortion iruhusiwe.
Sasa kuanzia Sasa hizo sperm ziwe mapovu ndio mtajua hamjui.Wewe kabla ya kulala na mwanamke mwambie kabisa lengo letu ni kustarehe kwani unaogopa nini wakati nyie ni watu wazima
Wanaume wengi wamelazimika kuoa wanawake sababu ya mimba zilizotegeshwa na hao wanawake [emoji108]
Na Ndiyo maana wakishaishi pamoja baada muda Mwanaume anachepuka.
Tofautisha Ardhi na MTU.Ardhi haipangiwi kuwa ioteshe mmea au isioteshe labda kama utaweka mbegu mbovu shambani, haitoota, ila ukiona kuwa haitaki mbegu iote shambani, basi iache ndani ya magunia.
Wanawake wengi wanapitiia changamoto ya mfumo wao wa hedhi ukiachana na wachache wanaoamua wenyewe kuibambika, wangeanza kupewa elimu ya mzunguko wa siku zao kwanza, unakuta dame analalamika mi siku zangu zipo tofauti mwezi ulopita nimeona tar14 mwezi huu tar21 as if anataka zijirudie tar14 hiyohiyo kila mwezi mpaka unamshangaa
Hii hoja haina nguvu kwasababu hakuna mtua analazimishwa kumwagia ndani. Na kama mwanaume huwezi kukubali kuitunza damu yako basi umevuka viwango vyote vya ushenzi.
nataka nione mafeminist watasemaje kwenye hili Robert Heriel Mtibeli
Peponi moja kwa moja mkuu
Kwanini ushiriki kwenye uhuni?Mwanaume anahaki ya kuchagua mwanamke wa kuzaa naye kama ilivyo Kwa Mwanamke.
Kufanya Mapenzi na Mwanamke haimaanishi MTU anataka kuzaa naye. Huo ni uhuni
Ila Dahππ