Mwanamke kupata mimba pasipo ridhaa ya mwanaume liwe kosa la jinai

Mwanaume mwenyewe sasaView attachment 2620182
 

1. Sio kila MTU ni Mkristo na anadini, haya tufanye wote ni Wakristo, je Wakristo wanafuata maagizo ya Dini Yao? Watu wangefuata hizo dini wala pasingekuwa na hii mada hapa. Pasingekuwa na uzinzi.

2. Sex ni Starehe ya Asili na yalazima ambayo kila Mwanadamu aliyekamilika lazima aitake.
Sex ni sehemu ya Kupata uzao lakini haimaanishi ni kila Wakati Ipo kwaajili hiyo. Ndio maana kuna Calendar.

Hapa tunazungumzia HAKI katika Ulimwengu wenye Utapeli, uhuni na ushenzi
 
TUMIENI KINGA ZITAWAEPUSHA NA MAKALA.
 
Hili nalo mkalitazame mheshimiwa waziri
 
Sex siyo starehe mkuu hilo nalipinga kwa nguvu zote.

Sex kuifanya starehe ndiyo maana imewagharimu watu wengi,wewe unafanya ngono na mwanamke kwa kudhani ni starehe kumbe mwenzio unampatia mimba,kwanini usitumie kinga kama hutaki mtoto,usipotumia kinga maana yake unahitaji mtoto iwe isiwe.
 
Naunga mkono hoja, katika hili tutakuwa tumewalinda wanaume na wanawake ambao kila mmoja kwa wakati wake anaweza kuwa victim, zaidi sana tutakuwa tumewalinda watoto.

Consent ya sex sio consent ya mimba, ila in the long run inabidi iruhusiwe sheria ya abortion, umelifikiria hili Robert Heriel Mtibeli

Kuna ke wako kuvizia ni wapi wakabebe mimba, wanaume bila kujijua wanawindwa, kwasababu ya udhaifu /ujinga/umalaya wao wananasa, mdada anatega mimba paah! On the process hawa watu wawili, Me na ke (mchepuko) wanapeleka kisanga kwa mke wa ndoa ambaye alikuwa yuko zake ametulia hajui hili wala lile. Hii issue inaweza kumuathiri mtu yeyote yule, lazima tuipinge vikali.
 
Wanaume wengi tu wamekuwa wakiingia huo mkenge! [emoji108]

Wengine wanapelekeshwa haraka kwenda kufunga hata ndoa ya bomani na wasimamizi wao bila hata mzazi wala ndugu mmoja.

Eti badae ndio wafunge ndoa ya kidini msikitini au kanisani kwa hiyo wanakuwa na ndoa 2 [emoji848][emoji848]

Wazazi wawaombee watoto wao wa kiume sana na kupata nafasi ya kuongea nao mara Kwa mara kuhusu mahusiano
 
Ndoa nyingi ni Kwa shinikizo la mwanamke hata Kwa hila Na uchawi.

Lakini uzuri baada ya muda huwa wanalipa gharama.
 
Nasemaje hii sheria itakua mujarabu sana
 

Umeelezea Kwa ufasaha zaidi Mkuu.
Kutoa mimba Kwa Ulimwengu huu wa Utapeli sio option ni lazima. Ni ishu ya muda tuu.
 
Liwe kosa na akijifungua/kuzaa wanaume tuwe na options ya kumuhudumia mtoto Au kutomuhumia
It is complicated, mojawapo ya haki za watoto ni kuhudumiwa na wazazi wake hadi afike muda wa kujitegemea.

Mzazi ni yule aliyeshiriki tendo la kumleta mtoto duniani.

Kwahiyo hap dawa ni kumshtaki aliyekubebea mimba ambayo ili iwe fair sheria ya abortion inatakiwa itungwe, (ambayo nayo iko kinyume na haki za binadamu) haki ya uhai, na mbaya zaidi mtoto akishazaliwa hakuna namna!
 

Sex sio Starehe, Mkuu hivi unaelewa unachokisema..
Sex ni Starehe ya Asili Kwa Mwanadamu
 
Tunaona shida wanzopata baadhi ya watoto wa single mothers mwishoe wengine inakua burnen ya familia kulea
 

Ni kweli Kabisa.

Ninajua Wadada kadhaa ambao Kwa Makusudi kabisa wanajua Mwanaume Fulani ameoa lakini Kwa Makusudi kabisa anajibebesha mimba ili apate chochote kitu. Hapo mwanaume anageuka na kuwa mbogo kwani ilikuwa kinyume na Makubaliano.

Kwa vile tayari kuna sheria ya Ubakaji ya kudhibiti wanaume wahalifu na wenye ukatili wa kingono. Basi itungwe sheria pia ya kudhibiti Wanawake wanaobeba mimba bila ridhaa ya mwanaume ili kuifanya jamii iwe stable.

Sheria Hii itasaidia Pande zote mbili Mwanamke na Mwanaume, lakini pia itasaidia kupunguza kama sio kuondoa tatizo la Watoto waliotelekezwa.

Kulea haitakuwa sio mzigo tena kwani Watu waliamua kuzaa. Lakini Kulea kunageuka mzigo pale inapotokea mtoto anazaliwa ukiwa hujajipanga, Mwanamke aliyemzaa haumpendi n.k.
 
Elewa kwanza.

Nimeshaelewa,
Unafikiri kila ukifanya mapenzi mimba inaingia?
Mwanamke ndiye ana-control sex na Uzazi.
Na sio mwanaume mpandaji.
Ndio maana Mkeo anaweza kukubambikizia Watoto na usijue lakini wewe huwezi kufanya Jambo Hilo.
Nd
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…