Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Kama unaruhusiwa tembea uchi wewe uone kama hujakamatwa labda uwe kichaa, hata kichaa atavalushwa nguo kwa nguvuUnaruhusiswa, hatuna sheria za nchi za kuelekeza au kupangia watu wavaaje.
Huyu uliyepost video yake siyo mwanamke?Sijawahi kuona mwanamke anatembea uchi mitaani kwa hiyo sijui raha nitakayopata siku nikimuona mmoja.
Bhebhe lumwecha kinehe wapelileKwa sheria za huko, sishangai kuskia huyo kesho amechinjwa
Hivi wewe mamako akivaa hivyo mtaani kwako wewe kama unakili timamu utajisikiaje, unajua sometimes akili itumike tu ambayo ni common sense hio wala haihusiani na dini hata bila dini sio ngumu kuelewa kwamba hawa watu wa magharibi wao ni washenzi kukuta bibi mtu mzima kavaa chupi mbele ya wajukuu kawaida kabisa wala hapo bila ata dini ni haifai kuvaa uchi mbele ya watuHapo sio mtaani ni Chuo, na the way watu wanavyompotezea speak louder kuliko yeye alivyokaa uchi
Hao sio arabsWaarabu ni wanafki
Afrika nguo na utamaduni WA kuvaa tumeletewa majuzi Tu, kabla ya hapo tulitembea tukiwa tumevaa ngozi na magome ya miti sehemu kubwa ya MWILI ukiwa wazi na Mungu hakuwahi kukerwa na uvaani wetu!Tuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Naendelea kuimarika mkuuOooooh bro.....u hali gani mkuu.
Hayuko uchi kavaa nguoYuko uchi??
DuhKitimoto/kosheli utapata wapi israel yenye wayahudi na waislam wengi?..hawali nguruwe hao
Hahaaaa vip ndugu yanguHivi wewe mamako akivaa hivyo mtaani kwako wewe kama unakili timamu utajisikiaje, unajua sometimes akili itumike tu ambayo ni common sense hio wala haihusiani na dini hata bila dini sio ngumu kuelewa kwamba hawa watu wa magharibi wao ni washenzi kukuta bibi mtu mzima kavaa chupi mbele ya wajukuu kawaida kabisa wala hapo bila ata dini ni haifai kuvaa uchi mbele ya watu
Labda hujakaa hizo nchi , nchi nyingi Za Ulaya zina sheria hata ukikaa nyumbani kwako uchi na chupi tu Kama mtu akikuona nje anawezä kuitwa polisi na ukashitakiwa. Hivyo tunavyofikiri sivyo kabisa sheria zilivyo. Kuna mahali unaweza ikawa na chupi lakini sio utembee mitaani na chupi . Unaweza kufungwa au kupelekwa hospitali Za vichaaUnaweza hata kutembea uchi kabisa na hakuna wa kukumata,
Tamaduni zipi hizi nguo tumeletewa juzi tu hapa Afrika watu walikua wanatembea uchi nafikiri ujui utamaduni wa mwafrika ni upi? Nenda Eswatin hapo watu wanatembea uchi huo ndo utamaduni wa mwafrikaTuache unafiki,kwahiyo hapo amependeza? Siyo tu uislam wala ukristo ambao unaona huyo amevaa vema bali hata tamaduni zetu......utajisikiaje Mama yako, Dada yako au mtoto wako akitoka mitaani amevaa hivyo? Huo ni upumbavu na ujinga kushangilia upuuzi kwa kisingizio cha uhuru
Huyo mwanamke hawezi kushitakiwa mahali popote Ulaya au Marekani, jikite kwenye mada, haihusiani na kutembea uchi.Labda hujakaa hizo nchi , nchi nyingi Za Ulaya zina sheria hata ukikaa nyumbani kwako uchi na chupi tu Kama mtu akikuona nje anawezä kuitwa polisi na ukashitakiwa. Hivyo tunavyofikiri sivyo kabisa sheria zilivyo. Kuna mahali unaweza ikawa na chupi lakini sio utembee mitaani na chupi . Unaweza kufungwa au kupelekwa hospitali Za vichaa
Watu wengi wanaolilia "tamaduni zetu" hata hizo tamaduni zao wenyewe huwa hawajawahi kuzijua vizuri, huwa naowaona vilaza sana wanaoimba mambo kama Kasuku tu. Mtu kavaa kama mwarabu au mzungu anasema tamaduni zetu za mavazi!🤣Tamaduni zipi hizi nguo tumeletewa juzi tu hapa Afrika watu walikua wanatembea uchi nafikiri ujui utamaduni wa mwafrika ni upi? Nenda Eswatin hapo watu wanatembea uchi huo ndo utamaduni wa mwafrika
Sie wanaume ni watu wa ovyoo xnaa ,.hapo wagalitia Meno yote nnje mkiona hayo mapaja ya huyo mwanamke ,?umalaya tuh hakuna cha Uhuru wala nn wanaume tunapenda kuona vitu hivo na wanawake wasiojielewa ndio huvaa hivo
Hapo kwan yuko marekani ? Dada ako na Mama ako akivaa hivo inatosha sio unataka kila mwanamke atembee uchiHuyo mwanamke hawezi kushitakiwa mahali popote Ulaya au Marekani, jikite kwenye mada, haihusiani na kutembea uchi.