Miss Natafutwa
Senior Member
- Dec 18, 2024
- 190
- 593
- Thread starter
- #101
Nakuoenda piaNakuoenda mnooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuoenda piaNakuoenda mnooo
Yaani wewe pia una madudu kichwani seriously....😄😄😄😄😄Nakuoenda pia
Nikajua umeandika kilughaYaani wewe pia una madudu kichwani seriously....😄😄😄😄😄
Umeshindwa kujua hiyo ni typing error jamni
Sasa kuoenda ndo nini miss 😄😄
Asante sana Mashamba Makubwa Nalima kakaKaribu sana Miss jukwa‐Honey!
Wee ushanipa red alert sasa kama ndo upo hvo 👋🙌🙌🙌Nikajua umeandika kilugha
Kwanini?Wee ushanipa red alert sasa kama ndo upo hvo 👋🙌🙌🙌
Karibu JFHabari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.
Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Sio mchumba anatafuta pachaHapana, niko single.
Unatafuta mchumba kwani?
Yaani Acha tuuKwanini?
Wao, haya mwambie ajeSio mchumba anatafuta pacha
Usimbanie lakiniWao, haya mwambie aje
SawaUsimbanie lakini
Asante sana pacha wangu Miss Natafuta.Heee makubwa .karibu mwaya
Inaelekea unajua sana mahaba wewe sio kwa hyo headingHapana, niko single.
Unatafuta mchumba kwani?
Kabisa.Inaelekea unajua sana mahaba wewe sio kwa hyo heading