Mwanamke na Tashtiti Zangu naombeni Ukaribisho JF

Mwanamke na Tashtiti Zangu naombeni Ukaribisho JF

Asante sana pacha wangu Miss Natafuta.
Nashukuru kwa ukaribisho wako humu.
I hope utanipa mapokezi mazuri nikiwa kama pacha wako.
Love you my pacha (kulwa)
Ni mimi Dotto.

❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
Ahaaa sina baya twin wangu
Love you so much
Hadi ukaamua kuwa Pacha wangu ina maana unanipenda
Mpende akupendae
Love you my blood
 
Habari zenu humu jukwaa hili la utambulisho.
Nilikuwa na uwezo wa kuposti jukwaa lolote ila nikaona si vyema na si jambo la busara kupost bila kupitia huku.

Naomba mnikaribishe na mnionyeshe pacha wangu Miss Natafuta
Karibu .....ukiniona humu usinizingatie sana...siko siriazi...mie hapa ni kijiweni na mara nyingi lugha zangu hazina staha,,wasalaam 😀 🙂 😀 🙂 😎😀
 
Back
Top Bottom