Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Wakati mwingine huwa tunaomba hela Tena nyingii tuu ili ushindwe na uondoke uache usumbufu kwa sababu pia hata kukupenda mwanamke hajakupenda.... Yaani wewe kumtongoza tuu anakuona mzigo fulani hivi.... Sasa ndio mwanamke anajipanga kabisa.... Naomba hela ya kupaua, au kuongeza mtaji wa biashara, kumalizia madirisha ya nyumba yake ahamie au ... Something bigggg ambacho definitely utaondoka.
Ila hali ikoje kama wewe ndio umekwama kwa kijana shababi kama National Anthem wewe utatoa hela ya kupaua nyumba bila shaka? πŸ˜€
 
basi tunatofautiana mimi mtu akiwa ananipanipa hela ndo najua ananipenda πŸ˜‚πŸ˜‚
Hakuna bahati mbaya kama kuwa na mpenzi wa aina hio yako eti ukiwepa hela ndio mapenzi yanakuwepo. Siku hela zikikata mnabadilikaga vibaya mno. Best way ni kuwa na mwanamke ambaye anajiweza tu.
 
πŸ˜€
Leseni ziwe na class A, B, C etc
Hahahah hio C ndio naona wengi inawafit maana wanakusanya sana abiria 🀣🀣🀣
Hivi nani atatoa mbususu yake ovyo tu πŸ˜‚πŸ˜‚ sikuhizi Kwa wanaume wenyew Hawa matapeli
Toa mbunye wewe uinjoy πŸ˜€ unaibania ili iweje
 
nyie ndo mnafanya mapenzi yaonekane biashara πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mapenzi naturally yanaanza na urafiki, courtship, marriage, sex and family.

Ila kutokana na uhuni ambao mnauita utandawazi mmevunja vipengele hamumalizi hatua zote. Mnafanya urafiki kisha mnarukia sex. Utaratibu umekuwa mbovu sana halafu kila mtu analalamika ila yote haya ni baada ya kutanguliza njaa mbele.
 
Back
Top Bottom