Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Mwanamke anae omba hela haraka ni rahisi kumalizana nae.. Sasa chagua wewe hapo usikilizie mda mrefu au upewa chap kwa haraka
Ndiyo maana imekuwa ikichukuliwa kuwa ni tabia ya Umalaya kuombaomba wanaume hela.
Mwanamke alotulia kabisa hawezi kuomba hela Mwanaume.
Ni mtihani mkubwa sana kwake.