Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa


Ngoja nikwambie, hawa watoto wa kike, wengine ni wema Kabisa, ila hawana namna.

Anavyokuona unaweza kuwa na uelewa anaweza kukuomba nauli, inawezekana hakuwa na namna kabisa.

Unaweza msaidia mtu yeyote muitaji, alichokuomba ni very basic need ya muitaji, wewe tu umewaza vibaya.

Wakati mwingine tuwachukulie na kuwaangalia kwa jicho la Dada na Kaka, na sio macho ya ngono na mapenzi.
 
hadi niwe nakufeel, na feelings zenyewe sikuizi bila hela hazipo sasa ndo tatizo lenyeweπŸ˜‚
Huwezi sema feelings ni hadi mtu awe na hela. Huo ni umalaya tu ndio unakusumbua. Wanawake wakiwa na feelings za ukweli wanahitaji time tu hela wanatumiaga zao ikibidi. We umpe mda umle na umchekeshe tu hela zako hana habari nazo
 



Wengine ni wanjanja kuliko unavyoweza kuzani!
Mwanzoni utazani unamsaidia kama dada na kaka ,
Utakaponasa kwenye mtego na kujikuta umemlala kimaagano utachoka mwenyewe [emoji108]
Ukiangalia hata hadhi ya kutoka nae huna ni Mbingu na ardhi lakini Ndiyo umetegwa na ukanasa na Kutoka saingine si rahisi.
Wengine wamevunja ndoa zao kwa vituko vya namna hiyo.
Wakitafakali wamefikaje hapo hawaelewi.
Kumbe ilianza kama kumsaidia dada.
 

Mdada yeyote akiwa naujasiri wa kuniomba nauli kati ya 1000 - 3000 na judgement yangu ikaona ana uitaji nitampa.
 
najutaaaaa ila haya niliyajuaaaa....!! yani unaombwaa helaaa kama vile helaa unaokotaaaa shwainiiii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…