Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

umeongea ukweli ciccyπŸ˜ŠπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
ndio maana tuna date na vitoto vya chuo havina ujinga wa invoice kubwa kubwa, vyenyewe vikiomba hela nyingi 50
 
Sikatai ila tatizo ni pale umeombwa mbususu basi ndio ina trigger mfululizo wa invoices...yan iktajwa mbususu tuuuu shida hiz hapa hapo ndio mnapokoseaga timing
huyo kweli anakua anakosea,,,lakini kama unampenda ni wajibu wako kumsaidia
 
Sio biashara ni sehemu ya majukumuyake kunitunza Kwa kadri atavoweza sio lazima anipe kilakitu na sidhani km kunawanawake pia wanaomba kilakitu
kabla hajakuja ulikuwa unajitunza vipi ? mpe kwanza mtu mfurahishe akielewa show atakupa tu hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…