Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke unaomba pesa after few date kosa kubwa

Mwanamke wakuniomba hela onspot sioni kama nafaa kuwa na yeye kwenye mahusiano ya mdaa mrefu, Kwani anakuwa amefungamana na tamaa za mdaa mfupi na maisha ya kuigiza😂😂😂
Wakati mwingine huwa tunaomba hela Tena nyingii tuu ili ushindwe na uondoke uache usumbufu kwa sababu pia hata kukupenda mwanamke hajakupenda.... Yaani wewe kumtongoza tuu anakuona mzigo fulani hivi.... Sasa ndio mwanamke anajipanga kabisa.... Naomba hela ya kupaua, au kuongeza mtaji wa biashara, kumalizia madirisha ya nyumba yake ahamie au ... Something bigggg ambacho definitely utaondoka.
 
Mmhhhhh!!! Sales siku hiz rate iko juu sana sanaaa..kiasi kwamba hujui kutofautisha anayeuza na asiyeuza ndio maana na sis tumekaa chonjo sana..ikitamkwa pesa tuu unahis kupigwa pigwa
sasa haitakiwi iwe hivyo,,halafu mbona kitu kidogo tu hicho usipompa atakufikiria vibaya kwamba umemuona mdangaji wakati mwenzio ana shida kweli
 
Wakati mwingine huwa tunaomba hela Tena nyingii tuu ili ushindwe na uondoke uache usumbufu kwa sababu pia hata kukupenda mwanamke hajakupenda.... Yaani wewe kumtongoza tuu anakuona mzigo fulani hivi.... Sasa ndio mwanamke anajipanga kabisa.... Naomba hela ya kupaua, au kuongeza mtaji wa biashara, kumalizia madirisha ya nyumba yake ahamie au ... Something bigggg ambacho definitely utaondoka.
Na ndio maana wengi wenu mnaishia kuwa single mother na kushindwa hata kutimiza hayo malengo yenu kwa wakati kwa sababu za ujuaji na dharau..zilizojaa kwenye vichwa vyenu na hatima yake mnazalishwa na vijana wahovyo kabisa...
 
Back
Top Bottom