Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Kuna dawa wanaweka mahali abdala kichwa wazi anashindwa kuamka. Cha kufanya weka mazingira umlie timing akiwa hajajiandaa then piga shoo. Unaweza kukuta anakuchezea tu
 
Vitoto vya mwaka 2000 na 2005 ni shida tupu Sio Hadi mtandaoni shida
NENO LA AIBU KANALIANDIKA ZIMAZIMA BILA HATA KUWEKA TASFIDA
@Wanajiita watoto WA MAMA KIZMUKAZI๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Vitoto vya mwaka 2000 na 2005 ni shida tupu Sio Hadi mtandaoni shida
NENO LA AIBU KANALIANDIKA ZIMAZIMA BILA HATA KUWEKA TASFIDA
@Wanajiita watoto WA MAMA KIZMUKAZI๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kaka kubali mabadiliko,,,zama za ukweli na uwazi
 
Na apo ndo uta jimwliza mki taka kupiga show uta ingiwa na hofu like sijui taweza leo [emoji28][emoji28]chuma kimelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ