Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Mwanamke unavumilia siku ngapi kama hupewi tendo la ndoa kabla hujaamua kwenda kwenu?

Wakuu Nimeoa siyo kwa ndoa au harusi

Jana nimerudi na mke,Kwangu geto hapa dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show.

Yaan juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show.

Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini. Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka ajakataa mwenyewe maana usiku hatukulala ni Kitombo mwanzo mwisho.Hapo tulikua tunaibiana.

Sasa nilivoamua kurasimisha mambo ndo kitu imelala yoyooooo. HAPA NAWAZA AU NDUGU ZANGU WAMENIROGA. Maana hili swala nilishirikisha ndugu michango ya maali kama yote ! Kwetu uchawi ni kama kawa (sina uhakika ila kijijin ndo mambo zao)

Yaan nilale na mwanamke nishindwe kumla had asubuhi siyo mimi.Nimepata shaka sana. Kwa wanawake UKIOLEWA AFU KUSIWE NA SHOW UTAVUMILIA MUDA GANI KABLA HUJAFUNGA VIRAGO?

Kwa mliooa hii ikoje?

Nipeni ushauri
Kuna dawa wanaweka mahali abdala kichwa wazi anashindwa kuamka. Cha kufanya weka mazingira umlie timing akiwa hajajiandaa then piga shoo. Unaweza kukuta anakuchezea tu
 
Wakuu, nimeoa siyo kwa ndoa au harusi. Jana nimerudi na mke, kwangu geto hapa Dar cha ajabu nimeshindwa kupiga show. Yaani, juzi usiku mzima tumelala nimeshindwa kupiga show. Jana nayo tena mambo yamegoma sijui nini.

Sina nguvu za kiume. Huyu manzi nilimla kama mara mbili kuna siku show mpaka ajakataa mwenyewe maana usiku hatukulala ni kitombo mwanzo mwisho. Hapo tulikuwa tunaibiana. Sasa nilivyoamua kurasimisha mambo ndo kitu imelala yoyooooo.

Hapa nawaza au ndugu zangu wameniroga. Maana hili swala nilishirikisha ndugu michango ya maali kama yote! Kwetu uchawi ni kama kawa (sina uhakika ila kijijini ndo mambo zao). Yaani nilale na mwanamke nishindwe kumla hadi asubuhi siyo mimi. Nimepata shaka sana. Kwa wanawake ukiolewa afu kusiwe na show utavumilia muda gani kabla hujafunga virago? Kwa mliooa hii ikoje? Nipeni ushauri.
Vitoto vya mwaka 2000 na 2005 ni shida tupu Sio Hadi mtandaoni shida
NENO LA AIBU KANALIANDIKA ZIMAZIMA BILA HATA KUWEKA TASFIDA
@Wanajiita watoto WA MAMA KIZMUKAZI😂😂
 
Vitoto vya mwaka 2000 na 2005 ni shida tupu Sio Hadi mtandaoni shida
NENO LA AIBU KANALIANDIKA ZIMAZIMA BILA HATA KUWEKA TASFIDA
@Wanajiita watoto WA MAMA KIZMUKAZI😂😂
Kaka kubali mabadiliko,,,zama za ukweli na uwazi
 
Na apo ndo uta jimwliza mki taka kupiga show uta ingiwa na hofu like sijui taweza leo [emoji28][emoji28]chuma kimelala
 
Back
Top Bottom