Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Duh in short single father, single mother kuanzisha nao mahusiano huwa mtihani maana wako so bitter kuwaza wenzi mara watoto. It's better single mother/ father wakaoana ila kuoa asiye na mtoto ni mtihani mkubwa mno na mbaya situation huwaathiri watoto nakuwa wakorofi hawalelekiEee tumo japo wengne hatuishi na watoto wetu ila tunaumia maana tulitaman kuraise watoto wetu katka familia iliyokamilika tukiwa na mama zao lakin ikashindikana kuwapa kile walichokistahili kwaajir ya ubinafsi wetu wazazi
Hamna ata sema single parents tuna chukulia upendo tofauti na watu wa kawaida amabao hawana watoto. We only focus on our children rather than ourselves tunaitaji tuone mtu tunae kuwa nae kwenye mahusiano anaonesha upendo mkubwa kwa watoto wetu pasipo ubaguzi kuliko ata anaounesha kwetu sisi wenyeweDuh in short single father, single mother kuanzisha nao mahusiano huwa mtihani maana wako so bitter kuwaza wenzi mara watoto. It's better single mother/ father wakaoana ila kuoa asiye na mtoto ni mtihani mkubwa mno na mbaya situation huwaathiri watoto nakuwa wakorofi hawaleleki
Ukiwa na Yesu hakuna upweke.
Ila ni changamoto kwa mwezi mpya daily kuleta mambo ya past pia lawama kwa mom mpya, in short hii situations huwa ni ngumu na complicated imagine mpenzi wako thinking about watoto, he doesn't care relations yeye hyo watoto, that's why its better single parents wawe wapenzi hii inakuwa rahisi maana Wana share common interests na wamekuwa wazoefu so kila mtu atakuwa na care na watoto wote, maana ngoma droo shida sasa wengi hupenda kuoa/ kuolewa na wasio na watoto wakati wao wanayo tayari.Hamna ata sema single parents tuna chukulia upendo tofauti na watu wa kawaida amabao hawana watoto. We only focus on our children rather than ourselves tunaitaji tuone mtu tunae kuwa nae kwenye mahusiano anaonesha upendo mkubwa kwa watoto wetu pasipo ubaguzi kuliko ata anaounesha kwetu sisi wenyewe
Single father wana stress sana na wako wengi humu
Mwanaume kutafuta mbadala inatokana na udhaifu wa mwanamke aliyekua nae moja ya sababu ni hiyo aliyoiongea mtoa mada JEURI
Jamani kuna raha yake kuwa na mtu anaekujali kukuliza hayo maswali(umekula?, Uko wapi?, mbona umechelewa? NK).
Ukiwa hauna
1)pesa
2)show kali
3)maamuzi magumu&msimamo
lazma utadharaulikaa tuu na majibu ya hovyo utapewa, haiwezekan mwanamke apaze sauti juu yako,, wanini sasa fukuza mpe likizo akakae kwao mwaka mzima akija kurud akil imekaa sawa, na usijutie maamuz yako[emoji41][emoji41][emoji41] achen kuwa na misimamo kama ya kike na yakitoto, usikubak mwnanmke akupande kichwan, atakuarbia maisha na kukidharau milele yote upate aibu mpka kiama ni muda wa kubadirika na kuachana na utoto kuwaendekeza hawa viumbe
Sasa kihivyo huoni kama mtaachika kila siku?Natutaendelea kuwajibu tutakavyo na kuwa wajeuri wanaume wenyewe vilaza hamueleweki.[emoji23][emoji23]
Kuachika sio dhambi tukishandwana na mtu kila mtu a mind bussiness zakeSasa kihivyo huoni kama mtaachika kila siku?
Ma single father nyie mna stress sana za watoto, Mimi nawajua vizuri bora muoe single mothers Ili mkamilishane malalamiko have yenu maana mna uchungu mioyoni mwenuUnapotosha kwa makusudi, single mothers ndo wanaoteseka…. na tushakubaliana kuwa hawafai kuolewa.[emoji276]
Ma single father nyie mna stress sana za watoto, Mimi nawajua vizuri bora muoe single mothers Ili mkamilishane malalamiko have yenu maana mna uchungu mioyoni mwenu
Pole kwa kujifariji na kuudanganya moyo wakoKuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
[emoji1319][emoji1319][emoji1319][emoji1319]Hapo sikuungi mkono kwa vyovyote.
Wote wakifanya hivyo tunakuwa na dunia ya aina gani?!. Watoto bila Baba nidhamu aibu tupu.
Amlabuee vzr kweli kweliPole mkuu kwa kujibiwa fyokofyoko...mnase vibao huyo akili imkae sawa.
[emoji848] hapa kazi ipo...
Unaposali unasali kumuomba nani sasa na umeshaamua kuwa muasi!Kuwa single mama ni raha tupu. Yaani huna mtu wa kukuuliza ulikuwa wapi, unakwenda wapi. Usiku unalala raha mstarehe. Ukitoka job unafuata watoto shule. Nyumbani na watoto mnapiga story za yaliyotokea kwenye masomo yao/shuleni, dinner then kusali. Unachati kidogo JF yaani hakuna wa kuuliza mbona una simu tu hebu njoo tulale. Single Mama ni raha sana kwa kweli.
Umalaya tu hakuna lingine hapo mtizame kwanza nyooooooooooooh ptuuuuuuuuuuuuuuuh [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]Sina dildo wala nini.Wa kunikuna ninae sema kila mtu yupo kwake.