Mwanamke wa ajabu ameniijia maishani mwangu!

Mkuu hii ilikuwa chumvi tu lakini huyo dada na uhakika maisha yao hayako vyema anatafuta pa kupumulia

inawezekana mkuu maana naona huu moto anaonipelekea sio wa nchi hii.

Tarehe 8 july nampokea Mwanza kwa gharama zake mwenyewe😎😎
 
Ogopa sana gumegume linalotumia herufi '' X '' badala ya '' S'' ndio yale wanakwaya wanaimba '' wanajivalia ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu wakali' subiri umpe mkataba wa kudumu ndio ujue rangi zake halisi
 
Hizi ni nyege zinamsumbua tu sikiliza muite sehemu hata leo muweke ile style kama unanoa kisu guu la roho alafu washa moto vizuri hapo utakua umemfanyia factory default atarudiwa na fahamu na hatakiwa na maamuzi ya kitoto kama hayo
 
Hili bando la data ni kwa bei gani mzee?
 
ake care , huyo ni suicidal charachter!
 
Kwa uandishi huo tu nakuacha na ukachukue hayo maamuzi yako ....nyambaf kabisa
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Yaani mtu anaandika X sehemu ya S. Hamna akili hapo.
 
Kwa uandishi huo tu nakuacha na ukachukue hayo maamuzi yako ....nyambaf kabisa
Nyambaf zako, wewe ulikuja jf ukataka ukimbiliwe haraka uoe sasa unaona wivu mimi kukimbiliwa huku mtaani?

hivi we jamaa una akili gani?

unatukana wenzio wakati na wewe una Virus kichwani?

Poor you!

 
Nashangaa sana wale wanaochukulia siriaz swala la mtu kutumia X badala ya S ,kwangu mimi hilo sio tatizo kabisa muhimu upendo na tabia njema kwani mtu anaweza akawa smart kuandika lakini ukapigwa na kitu kizito kichwani.
Hilo ni tatizo kubwa ....
 
Katika hao watu 100 me sikosi hapo[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…