Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Simamia unachokiamini tengeneza familia yako iwe vile unavotaka akiona hawezi muache aende
 
Hakuna kitu kinanikera kama mmekaa sitting room anakuja house girl eti "chakula tayari, karibuni chakula"
Wife sasa " sauwaaa dadakeee" Duh hatari kweli
Yaani mke na mume mumekunja nne kwenye masofa mkikodolea TV halafu mnamsubiri housegirl aivishe awatengee, hii ni noma sana.

Bado sijafikia hatua ya kuwa na housegirl, endapo nikifikia, hili sitokubali litokee labda pawe na sababu maalum ya dharura
 

Kua msomi na mwenye fedha bado hakukufanyi uachane na majukumu yako
Ikiwa wewe n mke hata iwaje bado utatakiwa kusimama kama MKE!
 
Kua msomi na mwenye fedha bado hakukufanyi uachane na majukumu yako
Ikiwa wewe n mke hata iwaje bado utatakiwa kusimama kama MKE!
Sawa, ila ndo hivyo imebadilika na uwezo wa kubadilisha haupo.
 
Waambie hao eti mwanaume anataka apelekewe maji bafuni ya kuoga yeye kujiepelekea hawezi [emoji23][emoji23]
Anaoelekewa na akioga na show yake mbofu mbofu [emoji23][emoji23] na anataka aheshimiwe
 
Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Mtu chakula kipo mezani eti mpaka apakuliwe kwenye sahani jamani huo si utumwa kabisa ndugu zangu?
 
Kuna familia moja naiona yani ety mkewe akiondoka atakusanya nguoo chafu mpka mkewe arud......akitoka kazni kila kitu anfnyiwa na mkewe had maji ya kunywa anatengewaa...mpaka nahis kuolewa utumwa
Utumwa +ujinga mkubwa.
 
Ndio mapenzi yalivyo bibie kea jinsi unavyobehave Muombe Mungu mume wako asipate mchepuko wa kitanga au pwani utasaga meno Sana
Hao hao wa Tanga ndoa zao zina washinda, watoka bara ndiyo wanazimudu ndoa zao kwa taarifa yako.
 
Wanaume wanafanyiwa yote hayo, lakini shukrani yao ni usaliti tu, wanawake wanafanya mazuri sana kwa waume zao sema wengi wenu hamna shukrani
 
Bora kuoa mama wa nyumbani ujue moja


Yaani utegemee nitimize majukumu yangu halafu wewe majukumu yako usitimize kisa uko busy na kazi


Mamaae ataelewa show
Mama wa nyumbani ili umsimange vizuri, maana akiomba hata elfu 2 ampe dada yake utasikia sijaoa ukoo mie sina pesa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…