Mwanamke wa Miaka ile sio Mwanamke wa leo

Wanaume wengi wakioa wanakua walemavu ghafla. Mtu hawezi hata kujisogezea glass anataka afanyiwe kila kitu wanadhani wake zao ni maroboti hawachoki.
Bahati mbaya mwanamke akikutana na mwanaume anayejua kujifanyia mambo yake huwa hajisikii vizuri. Naweza fanya yote anayofanya bola tatizo lolote, actually kufanyiwa vitu kunaboa.
 
No matter her profile in the society, heshima ni lazima. Hata awe na dunia yote, mwanamke ni lazima aniheshimu...sitalazimisha, ila itakuja automatically...
 
Hujawahi niangusha, panga unaliita panga, sio kisu kikubwa
 
La kuangalia ni maelewano kwenye familia, baba apewe heshima yake no matter what.
Umeongea Busara sana,,,,,Yote haya yanajadiliwa hapa ni Excuse za kinadada kutoheshimu Waume zao....

Na kuna vijana wa kiume aina ya mleta uzi wanaona KUTOHESHIMIWA ni sawa kabisa.... as long as wanasaidiwa Majukumu.
 
Nyie mnaokuja na viajenda vyenu uchwara vya dunia imebadilika Ndo mnaotuletea hizi habar za ushoga

Leo Unasema mwanamke nae anatakiwa kula kwa jasho (kumiliki Mali na biashara), kinyume na maandiko ya dining zote tunazoabudu duniani.

Kesho mtasema mwanamke nae anahaki ya kuoa na kuenjoy tendo la ndoa anavyotaka (ushoga&usagaji)
 
Nnachokiona mtoa mada Ni type zile za Wanaume wanaoogopa majukumu,

Ni mwanaume yule anayeimezea sana mate Ela ya MKE wake, anaamini kwa namna moja ama nyingine inasaidia kwenye bajeti zake.

Ni mwanaume yule anayeamini anaoa ili kupunguza makali ya maisha,

Mwanaume wa Hivi,
Kila mara atagombana na MKE wake kwa kutaka kupata hesabu ya mapato yake, maana ameoa akiwa na MAHESABU tayar.
 
Namba 3. Haujajibu hoja umeleta porojo na preference eti nani hataki bla bla blah acha habari ya nani hataki jibu hoja ni kweli au sio kweli mwanamke mwenye ajira hana muda wa kulea watoto, watoto wanalelewa na house girl.
Mtoa mada anatia aibu
 
Umeongea vema kabisa,
Mwanamke akishakua na maono yake ndo mwanzo was mashindano ktk familia.

Yaan kila mmoja ana ndevu,

Ni sawa uwe na nchi moja,
Wanachi mchague maraisi wawili,
Kila mmoja atakua anajipangia Vyake.

Ila mkiwa na Raisi, halafu makamu wa Raisi.Kutakua na balance of power.
Makamu wa Raisi atakua anamshaur Raisi,

Na Raisi ataamua achukue USHAUR wa makamu wake au aukatae, na ndio atakua na last say kimaamuzi you yanayohusu nchi.

Hii pia Ni applicable kwa level ya family.
 
Sahii kabisa[emoji106]
Mtoa mada anaondoa maana Halisi ya kuoa.

Nikazie kwamba
Mwanamke Hana ndoto zake, anaishi kwa mwanaume ili kutimiza ndoto za mwanaume wake kwa ajili ya kizazi chake.

Ndo maana
akiolewa analipiwa mahali,
anabatizwa na kupewa ubini wa mume wake,
Na akifa anazikwa kwa mume wake,

Na sio sehem ndoto zake zinapomtuma.
Huu ukisasa wanaotuletea Ni UPUMBAVU kabisa[emoji3525]
 
Mkuu wanaume wa kileo wapenda kitonga wameuza heshima yao kwa kutaka "kusaidiwa" maisha.

Furaha ya mwanamke ni kupendwa na furaha ya mwanaume ni kuheshimiwa ila hawa mario wamekubali kuishi kwa fedhea na kudharauliwa ili "wasaidiane maisha"
Kabisa,
Marioo Yuko radhi atukanwe na adharirishwe utu wake kisa vijihela vya mwanamke.

Tukisema Sikuhizi tuna wanaume wanajiuza, wengine wanasema tunatukana Sana.

Mwanaume kuitegemea Ela ya mwanamke Ni ukahaba mamboleo, Ni unyonyaji damu.

Mwanamke hakuumbwa kutoa,
Bali kupokea. Na akishapokea hujenga heshima kwa mtoaji (mwanaume).

Hawa Vijana wanaojiita wa kileo, Ni bure kabisa[emoji3525]
 
Nakumbuka marehemu mzee wangu aliwah nisihii sanaa.." nimekuleta duniani uje kuwa kichwa cha familia yako, usije yumbishwa na mkeo kwa lolote na pia nakuomba usije kutolea macho kipato cha mkeo...maana mbeleni atakuja kutolea wingi badala ya umoja akimaanisha kama ni ada ya shule ya mtt mtolee yotee..peke yako..akaniambia itaonekana ni ubinafsi lakin itakusaidia sana ktk afya ya mahusiano na mwenzio....ni miaka 16 iliyopita tokea nipewe hayo maneno....na leo hii naishi nayo...jaman hawa ke ni wachoyo..ni wabinafsi cjawah ona..ukidharau haya maneno mtakuja kuishia ustawi wa jamii...NB wanaume tupambane sanaa...ingawa kuna muda tunakosaa kabisaa lakin upande wa pili ni ngumu kuelewa.
 
Uyu jamaa Ni bure kabisa[emoji3525]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…