Na hicho Tu Polepole alikuwa anataka....zile siri za kiapo zitamwagwa nje mchana kweupe kwa kisingizio cha kumjibu Rostam..Anaenda kuharibu, anaenda kumpa Pole Pole afunguke zaidi maana atatoa code ambazo Pole atapita nazo,
Anaenda kufanya watu wazidi kutaka kusikia Pole Pole ata counterattack vipi na kuzidi kutoa ya ndani zaidi
Angekaa kimya ilikuwa busara zaidi
Kwa jinsi Pole Pole alivyokandia mitungi ya TAIFA GAS ,nilijua tu huyu tapeli lazima ajitokeze
Imejibiwa WAPI? Ebu Tujuze kwanza, Oja za Pole Pole Machawa Awawezi Ata Kidogo kuzijibu, Mtaishia hivyo hivyo kuungaunga SentenceIle imejibiwa ndani ya saa 48 😂
Member mmoja hapo juu kasema mahojiano yameisharekodiwa na kuhaririwa kwa ustadi...Azam hawana mtangazaji wakuuliza maswali magumu kama yule wa Star tv
Hizi zilizo katashauri kesi ya mgogoro wa chadema bara navisiwaniMahakama Zipi?
Sahihi kabisa 👍Ninaandika kitabu cha ujasiriamali ndipo nilipogundua kwamba kuna vitu navijua vizuri lakini kuna watu huwa wanapotosha kwenye jamii tena hata mishipa huwatoka, (hushupaza shingo) hapo ndiyo patamu nikaanza kutafuta jinsi ya kumuelezea binadamu ambaye unamjua kwamba ana akili na ana elimu ya kimataifa lakini huamua kuidanganya jamii hata kwa jambo unalo lijua vizuri hata humu jf wamo
Haya majizi hayastahili kuheshimiwa.Tumuabudu Mungu pekee, lakini hawa binadamu wenzetu tuwaheshimu tu.
Tupo kwenye uchumi wa kibepari ( soko huria) yeye na ma Tycoon wenzake mfumo wa soko huria unawabeba ,tunachohitaji walipe Kodi tu, kuwasamehe Kodi hawa tycoons na TRA kukomalia Kodi wachuuzi sio fair ,inasababisha mwenye nacho anapata zaidi na asiyekuwa nacho hata hicho kidogo alichonacho kunyang'anywa , mpasuko mkubwa huo na unaleta chuki ya jamii maskini dhidi ya serikali.
Ubepari tumeuiga kutoka nchi za magharibi ,TU copy pia jinsi mihimili ya utawala inavyoendesha nchi.
USA top tajiris wapo kule hata Elon Mask na utajiri wake no 1 wa Dunia anawekewa mipaka Kuna mstari anacholewa hawezi kuuvuka,je huku Tz tutaweza kufika huko ?
Polepole ana hoja gani!?Anakuja kujibu hoja za Pole Pole au?
Sahihi kabisaMember mmoja hapo juu kasema mahojiano yameisharekodiwa na kuhaririwa kwa ustadi...
Wacha ajibu,Ili tuone ikiwa chakubanga ni mkweliHuyu hana washauri angekaa kimya mbona JK huwa anakaa zake kimya huwezi kujibu kila kitu
Wakikujibu niambieOnline tunampataje.
Lazima tumsikilize wote ili tupembue vizuri.
Odemba ni empty headLa msingi nani ataongoza hayo mahojiano? Mnadhani akihojiwa na mwandishi kada wa mbogamboga kutakuwa na jambo la maana? Huuo anatakiwa kuwa pata kama Odemba na kuwekwa kona asifutukute
Mbona mna hofu!!Kipindi kimekwisha rekodiwa na kimehaririwa tayari. Baadae hiyo watakiweka tu hewani. Lakini atajibiwa kwa kishindo!
Hiki kipindi kitakuwa kimeandaliwa maalum na wanamtandao. Azam hawana mtangazaji huru mwenye uwezo wa kuuliza maswali magumu. Ameandaliwa chawa ili wafikie lengo laoMwekezaji Rostam Aziz anatarajia kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV.
Ikumbukwe kwa siku za hivi karibuni Mwanasiasa Humphrey Polepole amekuwa akimshtumu kuhusika kwenye mambo mbalimbali ikiwemo ufusadi.
View attachment 3462173
Muhajemi ndiyo nini?Kumbe mnyamwezi? Sio muhajemi?
Msomi wa London school of economics ajimalize?..subirini chakubanga asiginweIla nahisi anakuja kujimaliza kabisa
Za mt mmbea kama Polepole unasikiliza ila la jabari la Siasa na biashara maarufu kama comprador humsikilizi. Hizi sio akili ni kamasi!Niache kulala nisikilize porojo za Mtu