TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Halafu akawa anawajibu mbofu mbofu hasa babaake nelli

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
South Africa watu wengi wanamiliki chuma ,kuna yule mwanamichezo wa South Africa anaitwa Oscar Pistoreas , alimuua girlfriend wake Kwa bahati mbaya akimpiga risasi kwa kudhania ni jambazi kavamia nyumbani kwake alipokuwa bafuni nyumbani kwake ,sijui ile kesi ilifikia wapi
 
R.I.P AKA

Kaka umetisha kwa namna ulivyotafasiri, kama una muda wa ziada, aise jiunge Fiverr na Upwork ufanye kazi za ku-translate lugha (English - Swahili & vice versa) utapiga mkwanja maana upo gudi 👍
 
Police wanamkamata suspect baada ya kumlink na crime scene, kule sio hapa Tanzania, Police wetu bado wana mbinu za miaka ya 47,
Hao polisi unaowasifia unafkr watafanya nn sasa , huyo ashakufa , watakamata kamata watu , miezi miwili wapo uraiani , jitahdini kuwa na Aman na watu wote .. sio ujuaji , ubabe na ukatili , mwisho wake ndo huo , jamaa yenu alikuwa na sifa hzo
 
Huwa mnajidanganya tuu
 
Yule si alihukumiwa kifungo ila miaka ilikua michache nadhani alishaserve his time akatoka kama sijakosea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…