TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

 
Kwenye forums za wa South nimeona watu wanafurahia kifo chake kabisa,sikujua sababu
 
Rapa kutoka nchini Afrika Kusini, Kiernan Forbes maarufu 'AKA' amefariki dunia baada ya kupigwa risasi katika barabara ya Florida jijini Durban nchini humo.

Rapa AKA alitimiza miaka 35 Januari 28 mwaka huu.View attachment 2513218
Nilikuwa natamani siku moja niende South Africa kutalii lakini kwa matukio ya uhalifu ninayojua kupitia social media na tvs, nimehairisha, Ile nchi imelaaniwa
 

Kwani kuna cctv inayoonyesha AKA alihusika kumrusha ex girlfriend wake? Je kama hasira zake tu akaamua kujirusha who knows? CCTV footage ndiyo ingemaliza mchezo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…