TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban


Tena ilivunja video anamuabuse binti akvunja hadi mlango binti alikuwa anaogopa mnoo
 
Rapa AKA wa Afrika Kusini amefariki dunia kwa kupigwa risasi muda mfupi kabla ya kutumbuiza jijini Durban.

AKA ambaye jina lake halisi ni Kiernan Forbes ameuawa kwa kufyatuliwa risasi kutoka kwenye gari akiwa amesimama nje ya mgahawa.

Polisi nchini humo wamethibitisha kuwa nyota huyo mwenye miaka 35 pamoja na mlinzi wake wameuawa.

Hajafahamika sababu ya mauaji hayo, na sasa jeshi la polisi linaendelea na uchunguzi.



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Haya mambo ndiyo yalifanyaga nikaahirisha kwenda Marekani, zero security, muda wowote unakula shaba...

Ni bora utulie bongo na ki take home chako cha 700k, kuliko kwenda kuishi kwa stress nchi za watu.
Marekani salama sana inategemea unajihusisha na watu gani, Kama weee ni mzee wa GANG, OG, NIGGER, MA NIGGA MA NIGGA lazima urajutana na bullets iwe Marekani au SA
 
Hivi huyu AKA dem wake na yeye si alifariki badae maneno yakawa mengi mengi.
 
Tena ilivunja video anamuabuse binti akvunja hadi mlango binti alikuwa anaogopa mnoo



Exactly halafu kwake maisha yakaendela as nothing happens, yes hata mimi ningemfanyia hivyo hivyo,ningemmimia risasi nyingi sana,he was a piece of shit
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…