TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Daah! Noma sana Aisee! South Africa, South Africa, hizi mambo za kuwindana mpaka lini!? Mchizi kaondoshwa mapema sana.

Pole nyingi kwa mashabiki wenzangu. Ee Mola , umpokee mja wako AKA, nasi utujalie Mwisho mwema....
 
It's not a white man's finger on the trigger
Car-jacks, drive-by's, callin' each other "nigga"
I'm not here to scold but rather shape n' mold
That young black mind that won't live to grow old
Cause you're fronting smoking on the blunt and
Down with your friends cause you think you're making ends
But you're not - and that's the truth of the matter
Your brother gettin' skinny, cause you want your pockets fatter

NonChalant 5 O' Clock in the Morning
 
Until the day.
 
Dhambi ya ubaguzi hiyo..binafsi siwezi kusikitika kipindi wageni/watafutaji wanauliwa hao wasanii wa south walikuwa kimya kabisa sasa hivi wameanza kuuana wenyewe kwa wenyewe
Kuna watu walikuwa wanafurahia mateso aliyokuwa Jiwe anawapa wapinzani wake wa kisiasa. Huu ubaguzi upo kila sehemu. Inawezekana hata wewe huupendi kama inavyowezekana hata yeye AKA hakuupenda, ila ndio hivyo huwezi kujua.
 
Pakuanzia uchunguzi ni kwa huyo mlinzi wake huo mchezo ulishapangwa
 
Unless AKA awe ndio aliyem_push, otherwise mtu kama alijirusha mwenyewe, sioni hatia yake hapo. Ni kama mtoto kunywa sumu afe kisa kachapwa na baba yake.
 
Nkosi sikelela
Thina
Thina na magenge
Godly
(is like Mungu tuepushe na ma Gangs)
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…