TANZIA Mwanamuziki AKA wa Afrika Kusini auawa kwa kupigwa risasi jijini Durban

Ni myth tu.

Haimaanishi kwamba usipomfanyia mtu ubaya leo basi umejihakikisha kutofanyiwa ubaya na yoyote, maisha hayako hivyo.

Magumu na Raha ni sehemu ya maisha ya binadamu bila kujali historia yake.
Huwezi kuepuka kutofanyiwa ubaya ni part and parcel ya maisha duniani. Watu wanafanyiwa ubaya bila wao kufanya BUT ukifanya ubaya utakurudia tuu in one way or another. Hata kama sio leo sio wewe but the cycle will turn back to its starting point one day.
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…