Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Mwananchi waomba radhi baada ya wananchi wengi kupiga kura ya kuridhishwa na Sera za Uchumi za Magufuli dhidi ya marais wengine

Samia hana chochote cha kumzidi Magufuli. Ukiweka uchawa pembeni na ukatumia common sense Samia ni hakuna kitu.
Common sense ipi? Wewe Kwa akili Yako ndogo tuu ukiacha hiyo akili ya Ushabiki wa kipumbavu kisa chuki binafsi unadhani aliyepandisha Mapato ya Serikali Kutoka 1.5T Hadi 2.2T nani ame deliver zaidi?

Niletee jibu kabla ya kuanza kuweka ushahidi wa takwimu.Mimi.sio punguani kama nyie na siendeshwi.kwa hisia Bali facts with evidence.
 
Wewe una chuki tu na watu wa Kanda ya ziwa hasa Wasukuma lakini kusema una sababu ya msingi ni uongo uongo wako!
Nina chuki au natumia takwimu 😂😂😂😁

Chuki za nini hasa? 😂😂 ,Mbona takwimu hamtaki ila mnataka kutumia moyo kama mambo ya kitandani 🤣🤣
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Wanaomba radhi kwa kupublish ukweli?
 
Gazeti la mwananchi lilianzisha kura za mtandaoni ama poll ya kuuliza wadau ni sera za kiongozi yupi wa Tanzania kati ya Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wanazozikubali.

Matokeo ya kura yakaonyesha Kikwete kupata 17% sawa na Samia, Mkapa kupata 7% na Magufuli kupata 57%.

Baada ya matokeo hayo kutoka, Mwananchi wameamua kuomba radhi kwamba uchaguzi ama vigezo vilivyotumika havikua sahihi wanaomba radhi😂.
View attachment 2973698View attachment 2973699
Magufuli 🫡
 
Ila ex seminarian wa Katoke asingekuwa na vya kuua ua kisa demokrasia na kupenda kuongoza nchi kama familia ni alikuwa na uthubutu wa kutupeleka sehem!
Basi tu ujasiri bila maarifa huzaa msiba!
 
Lakini wanaotoa mabango kwamba mama anaupiga mwingi kila kona au wale wanaosema amefanya miujiza hawaombi radhi ?

 
Wanaomjua Mkapa alifanya nini ni wenye umri wa 50 years and above ambao ni less than 20% ya population. Na kati ya hao wanaoingia kwenye mitandao ni less 40%.

Ungeniuliza mimi ningekuambia marais wote kuanzia Awamu ya 4 wanatembelea kwenye misingi ya BW Mkapa.

Kura kama hii huwezi kuifanyia statistical analysis kwa kuwa hujui demographic factors zake.

kwa Mkapa uko sahihi lkn usisahau Mkapa hakuwa mtu wa kujipiga kifua na hivyo watu wengi hata hawajui mambo ambayo Mkapa alifanya, mfano mdogo tu shule za Kata wanamsifia lowasa (RIP) wafuasi wake at least lkn hawajui kwamba ni brain ya Mkapa kupitia Paris club ambapo tulitimiza masharti na ku-qualify kusamehewa madeni na sharti lilikuwa hela ya msamaha wa madeni iende kwenye ujenzi wa Shule ndipo shule za Kata ziliposambaa nchi nzima sasa lowasa was at the right place at the right time akasema amejenga shule za Kata lkn hawaambii fedha alitoa wapi huo ni mfano tu, na hukuwahi kumsikia Mkapa akipigaia hiyo legacy alikaa kimya tu hata mradi wa maji ya Ziwa Victoria yote kazi alipiga Mkapa lkn wengine wakasema ni wao wamefanya.

Mkapa alifanya makubwa klk raisi yoyote yule sema inahitaji uelewa pia kuliona hilo, uchumi wote unaoshamiri Tanzania ni kazi ya Mkapa kuanzia Banking industry kama NMB au CRDB leo hii anasifiwa raisi samia kwa faida ya NMB, hata TRA kama ilivyo leo hii ilikuwa reformed na Mkapa, alianzisha EPZ kule barabara ya mandela Mabibo viwanda vya nguo Arusha yote Mkapa, kampuni zinazofanya vizuri leo hii TZ kama TBL kabla ya Mkapa hakuna aliyekunywa bia ya Tanzania bila kuumwa kichwa kesho yake, kiwanda cha Sigara ni success story yote brain ya Uongozi wa Mkapa kwanza unaweza kusema miaka 10 iliyofwata baada ya Mkapa ilikuwa ni lost decade.

hivyo kwa Mtanzania wa kawaida ni ngumu kuelewa kazi ya Mkapa usisahau hata waliita ukapa kipindi chake sababu ya fiscal discipline na kufight against wizi wa fedha za uma kama leo hii ambapo wanaambiwa wale kwa urefu wa kamba.

Usisahau pia Mkapa alijenga Bunge Dodoma hivyo alihamisha mhimili wa kwanza ktk Karimjee kwenda Dodoma, waliofwata walipaswa wahamishe Mahakama na Serikali lkn miaka 10 udom tu ilijengwa hata mpaka leo haijakamilika yote bado…
 
Ila ex seminarian wa Katoke asingekuwa na vya kuua ua kisa demokrasia na kupenda kuongoza nchi kama familia ni alikuwa na uthubutu wa kutupeleka sehem!
Basi tu ujasiri bila maarifa huzaa msiba!
Aliua nani?

Demokrasia ipi, ya kina Zitto?🙄
 
Wanaharakati huko mtandaoni X wanadai Vijana wa Sasa Wengi hawakushuhudia utendaji Kazi uliotuka wa hayati Mkapa ila wamebahatika kumshuhudia hayati Magufuli tu

Maria Sarungi & co kwahiyo mnatuambia Mkapa ndio amejenga Uchumi Bora wa Tanzania?

Ni hilo tu

Mlale Unono

Kanisa Moja Takatifu La Mitume 😀
 
Screenshot_20240425-194459_Chrome~2.jpg

The first genius from TANZANIA
 
Mifano ya walioporwa wako wengi sana na Mimi nawajua Baadhi Yao.

Pili Serikali imekiri mara kadhaa na ndio maana imewarudishia wale wa Burea de change

Tatu wewe unakumbuka mambo ya hela za plea bargain na CAG alisema hazikuingia kwenye account za serikali na wanaufaika unawafahamu.

Mwisho kulalamika Kwa Kiongozi ni kuwatahadharisha kama kawaida ila hujaskia Serikali inawapora na kuwakomoa,unajua Kwa nini? Kwa sababu inajua mazingira ya biashara Tzn ni magumu inatakiwa akili ku deal nao vinginevyo Mapato hata hayo mafogo yatapotea.

Mwisho wa siku Mapato yameongezeka mara 2 kuliko miaka 5 ya Magufuli ila nyie hater hamuwezi zungumzia haya.

Nasisitiza Nina sababu Milioni za kusapoti Samia over Magufuli by any metric Samia anafanya vizuri zaidi.
Tupe kiasi Cha mapato kabla na baada ya kuingia Magufuli.
 
Back
Top Bottom