ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Common sense ipi? Wewe Kwa akili Yako ndogo tuu ukiacha hiyo akili ya Ushabiki wa kipumbavu kisa chuki binafsi unadhani aliyepandisha Mapato ya Serikali Kutoka 1.5T Hadi 2.2T nani ame deliver zaidi?Samia hana chochote cha kumzidi Magufuli. Ukiweka uchawa pembeni na ukatumia common sense Samia ni hakuna kitu.
Niletee jibu kabla ya kuanza kuweka ushahidi wa takwimu.Mimi.sio punguani kama nyie na siendeshwi.kwa hisia Bali facts with evidence.