LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Haahaa, angekuwa mwendazake angelazimisha kwenda...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimempenda😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Kwa sifa kuwa haogopi anamtegemea Mungu kana kwamba elimu ya utabibu ililetwa na shetaniHaahaa, angekuwa mwendazake angelazimisha kwenda...
Angekuwa JPM angeingia na kama angekuta wanakula angegonga nao nguna! RIP Jiwe!!!!😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Safi sana, anajali sana wananchi wake maana tumetoka kwenye msiba wa kiongozi mkubwa hatuwezi kuingia kwenye majonzi mengine ndani ya muda mfupi although msiba haupangwi Ila sio kwa uzembe😀😀😀😀😀 niko hapa sebuleni kwangu naangalia Tv nimefurahi sana Rais Samia alivyosita kuingia wodini baada ya kuambiwa ni maalum kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kupumua hospitali ya Mwananyamala.
Upo..?Kifo kinatisha
Ni sawa na uambiwe yule jamaa ana ngoma ila enda nae ukiwa umevaa ndom....
Weeeh kama ni mwamaume haisimami ng’ooo ....😅😅😅
Kovido hana masihara, hata mie ningeita tena nikiwa mbaalii... nyiiiii tokeni hukoo....!
🤣 Rais intelijensia yake ililala nini Kwani walikuwa hawajui wanaenda wapi..??Mama muoga huyo anajua kilichompata jiwe
Akaona bora adesh fasta, kovidi sio poa🤣🤣🤣🤣 Rais intelijensia yake ililala nini Kwani walikuwa hawajui wanaenda wapi..??
Matatizo ya upumuaji ndo likovidii..😁Akaona bora adesh fasta, kovidi sio poa🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Matatizo ya upumuaji ndo likovidii..😁
Sasa ndio nimeelewa. 🤣🤣Mama muoga huyo anajua kilichompata jiwe