PostGE2025 Mwanasheria Mkuu wa Serikali baada ya kuapishwa na Rais, aapa kumkamata Mange Kimambi. Anasema kapewa maelekezo!

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Unaona ulivyo mweupe!! Trump alikaa na nani hapo DRC? Ukiwa na mali wamarekani ni mazezeta wanakugeuka wakati wowote tena wakati huu wa Trump!!

drc siyo muslims, >95% ya drc ni Christian, isitoshe drc wana matatizo ya islamic terrorism pia …
 
Kama huyu ni mwanasheria wa kweli angelijua kuwa USA haina extradition treaty na nchi hata moja ya kiafrika. Sasa watampataje Mange ilhali yeye ni raia wa marekani na kwa sasa anaishi marekani? Chance ya kumkamata Mange ni kuinga ile style ya nigeria ya mwaka 1984 walipojaribu kumteka na kumpeleka nigeria Ummaru Dikko. vyenginevyo labda wawatumie watanzani waliopo USA kummaliza huko huko aliko, vyenginevyo ni ndoto kumkamata Mange na kumleta Tanzania kwa hukumu.
 
Wakati mwingine tunaweza kuwa tunamlaumu Rais kumbe tatizo ni washauri wake na watu waliomzunguka. Nina mashaka hawa washauri huwa wanamwambia Rais kila 'kitu kinawezekana.'​
Kwaiyo tuna rais kasuku?
 
M23 etc ni Christian terrorism?

siyo tu m23, drc kuna makanisa yalivamiwa na jihadists na kuuwa Christians nigeria style …

 
Walishindwa kimkamata kigogo enzi za kambale watamuweza Mange?
 
Huyu atapata muda wa kupitia mikataba ya kinyonyaji inayolitesa taifa kwa akili kama hizi kweli?
Inawezakana hata hajui kwamba tanzania imeshitakuwa huko nje kuna zaidi ya trion 10 zi
Angekuwa smart angeokoa matrilion ya fedha ambazo serikali inalipa fidia huko nje kwa kesi za wawekezaji inazoshindwa wakati ofisi ya mwanasheria ipo.
 

Sheria za mikataba malizia mkuu! Hana criminology hata sumni!
 
Wasivyo na akili, wote serikali nzima itakuwa busy kutafuta namna ya kumpoteza Mange. Hapo wanawaza namna ya kumuua. Mlifanya hayo hayo kwa Lissu, Polepole.. Sasa hamjajifunza kuwa wanaibukaga wengine tena 1,000! Yani hii serikali kweli ni ya kiswazi! Nilitaka kupata moyo ila kwa uteuzi huu, basi tena. Limama halitaki kujirudi kwa wananchi, watu wake wote ni kama yeye. Wamekaa kuchambana chambana na wizi tu.

Badala kufocus kwenye kujenga nchi, kujaribu kuweka hali ya amani sawa, ndio kwanza wanaanza na waongeaji wa mitandaoni. Same strategies zilizotufikisha hapa leo, ndio zinaendelezwa. Hapo tayari watakuwa busy kusaka wakuwaua, kuwateka, kuwatishia. Ina maana utekaji utaendelea kama kawaida, mauaji kama kawaida, kupeana kesi za kipumbavu kama kawaida! Yote hiyo ni ili waibe bila mtu kufungua mdomo. Na kupeana madaraka. Huyu mama ni tatizo kubwa sana. No wonder watu hawamtaki. Hana anachokiweza kwa kweli.
 
Kwaiyo tuna rais kasuku?
Hapa sina majibu mkuu, ila mashaka yangu ni watu ambao Rais ameamua kuwaamini na kuwaona wanamfaa.

Mimi siamini kama huyu Mwanasheria mkuu anatosha katika hiyo nafasi, sijui sheria zinasema nini kuhusu sifa za Mwanasheria mkuu wa serikali ila kwa hiki alichoongea leo, hivyo viatu ni vikubwa sana kwake.
​
 
Tatizo limeanzia juu mkuu.

Sasa wewe unamteua mtu halafu unaenda kumpa roles, wakati roles zake zipo kikatiba na anazijua, yule wajuu ndio wa hovyo kabisa.
 
Mimi wananichoshaga na hivyo ambavyo hawana akili hawa na huyo mtu wao! Hivi mnaona bado Watanzania ni wajingaaa. Kwa hiyo mwerevu wetu ni Lissu, Polepole na sasa Mange. Kwa hiyo mkiwamaliza hawa basi hakuna tena wa kuona upumbavu wenu na maujinga yenu ya wizi, utekaji na uuaji? Tangu mmeanza kuteka na kuua, mmenyamazisha hasira za watu dhidi yenu? Si ndio mmezizidisha mara mia? Bado hamuelewi tu namna ya kuongoza? Wajinga wakubwa nyie
 
Mlimnanga mwembeyanga,mkampokea 2015 mkizungusha mikono na kura mamilioni mkampa
Mimi ni mwanaccm, kadi yangu nimepata miaka ya 90, na ninazo zote na kidigital ila sio ccm hoya hoya.
 
Inawezakana hata hajui kwamba tanzania imeshitakuwa huko nje kuna zaidi ya trion 10 zi

Angekuwa smart angeokoa matrilion ya fedha ambazo serikali inalipa fidia huko nje kwa kesi za wawekezaji inazoshindwa wakati ofisi ya mwanasheria ipo.
Nilimuona anavyoongea kwa mara ya kwanza kwenye issue ya DPW na leo nimemsikia tena, kiukweli kabisa ufafanuzi wake wa legal issues unatia mashaka elimu yake ya sheria kustahili kuwa AG
P
 
Mwanasheria ana elimu ya kuunga unga kama Hangaya. Kasoma, bachelor's and master's in Ukraine, should tell you everything you need to know.
 
Hamza Johari kwa nafasi uliyonayo mbona ulikaa kimya wakati wananchi wanatekwa na kupotezwa/kuuwawa?

Hizi ghazabu za wananchi hazijasababishwa na Mange bali zimesababishwa na ninyi wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…