Mlimkata lissu mkajua mmeshinda akifa mange watainuka wengin Hadi muache kuabudu sanamu la samiaKama Trump kapigwa risasi ya sikio huyo Mange hamna haja ya kumkamata apigwe risasi hukohuko maiti yake izikwe hukohuko hatutaki hiyo laana.
Sekta kama zipi mkuu?Kwani hujui kuwa Mwanasheria Mkuu ndio mshauri mkuu wa sekta zote za serikali?
Hapa Columbia, South Carolina, nimekutana na Prof.Thomas Crocker, mbobezi wa sheria za katiba (Constitional Law) na sheria za usalama (National Security Law). Nimemuuliza uwezekano wa Mange kurudishwa TZ na kushtakiwa kwa uchochezi. Bahati mbaya hamjui Mange lakini nimemwelezea kwa kifupi na tuhuma zinazomkabili.Wakuu,
Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi.
----------------------------
Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Hamza Johari amepania Mange Kimambi lazima akamatwe!
Kama hujui sekta za serikali basi.Sekta kama zipi mkuu?
Ana uraia wa Marekani wa aina gani wa Green Card 33 years au?Hahaha hyo case itakua more interesting kuliko case ya Lissu.
Itawavua Nguo, Kuliko ilivo wavua wakati wa lissu, na Kwa taarifa yao, Raia wa USA hawezi kuhukumiwa mahakama za TZ.
Lazima case ifunguliwe USA.
Hivi kule Zanzibar wamewahi kuwa na mwanasheria mkuu toka Tanganyika? Kwani wizara ya sheria yaweza kuongozwa na mzanzibar? ipo kwenye zile wizara za muungano? Tuanzie hapo kikatibaHuyo Johari ni Msenge tu kama ******* wenzie!.
Hana uwezo wa kumkamata Raia wa Marekani,aache kumdanganya Mpumbavu mwenzie Samia
Hawa Wapumbavu sijui huwa nani anawadanganya!,yaani mnaacha kupambana na Ufisadi unaolitafuna Taifa Kwa mikataba mibovu wewe unataka ukapambane na Raia wa Marekani,Very Stupidity!
Nani aliwaambia maandamano yameratibiwa na mange!?,Kwamba watu hawaoni Utekaji,Uuaji na Uminywaji wa Haki zao?
Jaribuni kupambana na Mange mje muone,na bahati nzuri hata huyu Mwanasheria ametamka hadharani na hii ni makusudi maana angekuwa na hiyo nia kweli angekausha Ili apige mambo kimya kimya!
USHAURI KWENU NYIE WAPUMBAVU
Mange Kimambi ni Raia wa Marekani,hata mkimteka mkamleta Tanzania na Kumuua bado Marekani itamuhutaji Raia wake na hapo ndipo mtaipandeka Wapumbavu nyie!
Mange si wenu tena,Mange ni Raia wa Marekani,na yeyote anayecheza na Raia wa Marekani ni kuigusa mboni ya Jicho la Marekani,hii ni Kwa mujibu wa sheria na katiba Yao,haijarishi mtu huyo ni Mzaliwa,Muhamiaji au Aliyepewa Uraia through Green Card Lottery,Hivyo Jiepusheni na Raia wa Marekani wapuuzi nyie vinginevyo endeleeni Kumdanganya huyo mama yenu!
Kwahiyo huyo mpuuzi baada ya kuapishwa tu akamuongopea Dictator Samia kwamba anao uwezo wa kumkamakata Mange?
Aiise hii nchi wapumbavu ndiyo wanaotutawala,watu wenye akili tupo nje ya gemu la wajinga!
Huyo mjinga mwambieni atakufa yeye au ataondoka madarakani na Mange bado ataendelea kuwepo!
Ngoja aendelee kudhani FBI & CIA ni washirika wa Dictator Samia na Genge lake!
USHAURI KWAKO WEWE KICHWA MAJI JOHARI
Tangu lini Mwanasheria anayo Mamlaka ya kumkamata muhalifu?,Kazi yako ni kuwatetea wateja(Wawe wahalifu au wasio wahalifu),Wewe umepewa Mamlaka ya kumkamata muhalifu Kwa sheria ipi?,Au katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kuna kipengele kinamtaka Mwanasheria mkuu wa Serikali kukamata wahalifu?
Endelea kulinda Ufisadi wa Dictator Samia but wewe na wajinga wenzio mnaoliumiza Taifa Kwa kufurahia Leo ipo siku mtaubeba msalaba wenu,mkiwa hai au mmekufa,Mkiwa mmekufa watoto wenu na wajukuu wenu watakao Kuwa hai lazima wabebe misalaba yenu!Sheria za nchi hii lazima zitabadirishwa ili kila aliyehusika abebe msalaba wake!
Leo endeleeni kukenua meno Kwa Vicheko kedekede Kwa kutuona Watanzania kama mazwazwa but siku inakuja na Wala haiko mbali!
Cheo cha mwanasheria kwa Tanzania bora kifutwe kwani kimetumika kuwabambikia kesi chadema, kuingia mikataba mibovuHajazumgumzia kuhusu wale wahalifu waliofanya mauaji ya kutisha Oct 29
The Hague ICC waanze na mwanasheria wa Serikali kwanzaSerikali ya samaki inaaza kutapatapa itoe maagizo kwa Trump.
Huu upumbavu wako kaa nao huko gheto unaposhinda ukivuta bangi kwani huna huruma hata na utekaji mauaji kuwabambikia watu kesi hovyoKwa hiyo umekubali nyie hamuwezi kuua mtu marekani au raia wa USA akiwa kwao USA hadi muombe vichaa wa USA wawasaidie. Imagine nyie ndiyo washauri wa Samia😂😂😂
Mwombeni Kagame au Mosad wawasaidie
Cheo cha mwanasheria wa Serikali kwa Tanzania hutumika vibaya sana yafaa sasa afikishwe kwenye mahakama ya uhalifu ICC The Hague ili apate fundishoOngea yake tu inaonyesha kichwani hamnamo kitu..
Eti baada ya kuapa nimepewa maagizo. Hili nalo la kusema public?...
Je, Mbona huzungumzii kukamata Askari waliofanya muuaji??..
Serikali ya sasa imekaa kiumbea mbea imejaa majungu fitna visasi uonevu kupenda kesi kesi ligi zisizo na tija kwa maendeleo ya Nchi, wanatumia mda mwingi kuwaza mambo ya hovyo kuliko maendeleoSamia ingawa anadai reconciliation kwa nje .... ndani bado anataka kuwafanyizia waandamanaji. Haiwezekani agizo la kwanza kwa Mteule wake wa kwanza kwenye awamu hii ni agizo lake la kwanza ni kumkamata Mange. This tells you what we are up to and what is coming or cooking behind the scene.