Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

CHAGUZI Tanzania hazitegemei sanduku la kura, zinategemea TISS na Polisi, zingetegemea sanduku la kura, CCM wangeshazikwa kitambo.
Hata Gaidi Mbowe alivyotangazwa kashinda ubunge wa Hai alishindishwa na TISS na Polisi?
 
Feleshi ni muongo.
Msikilizeni Prof Shivji PhD

Kama wewe tu hii ndio shida yenu wapinzani mnacholalamika kwa wengine ndio mnakifanya na hata ndani ya chama chenu nenda kajaribu kutaka kugombania nafasi ya juu ndio utajuwa true colour ya CDM, yalimkuta Zitto Kabwe
Ndio maana nakuambia ww ni bendera fuata upepo. Huna hoja zako zaidi ya hizi zinazowekwa huku jukwaani unazirudiarudia. Halafu wakati unaandika ujitahidi kuzingatia koma, nukta nk.
 
CHAGUZI Tanzania hazitegemei sanduku la kura, zinategemea TISS na Polisi, zingetegemea sanduku la kura, CCM wangeshazikwa kitambo.
Tunashukuru TISS sana maana ingezikwa lakini baya zaidi sisi tungezikwa na chama cha VICOBA
 
Yapo mambo 10 yasitokubalika likiwemo ukomo wa mkataba, tunapopata mwekezaji mwingine maeneo mengine tukaombe Dubai, Bandari ni suala la Muungano, kwa Nini bandari za Zanzibar zisiwemo?
Huna hoja wewe umekariri tu umelishwa matango pori nisipoteze na mtu anayesikiliza sio kuchambua
 
Ndio maana nakuambia ww ni bendera fuata upepo. Huna hoja zako zaidi ya hizi zinazowekwa huku jukwaani unazirudiarudia. Halafu wakati unaandika ujitahidi kuzingatia koma, nukta nk.
Sawa mwalimu wa kiswahili. CCM wananiangusha hapa kuacha watu kama nyinyi kujificha nyuma ya computer. JPM tu angeishi miaka 10 tu shughuli yake mliiona mpaka mwenyekiti ubunge chali jelaaaaa
 
Sawa mwalimu wa kiswahili. CCM wananiangusha hapa kuacha watu kama nyinyi kujificha nyuma ya computer. JPM tu angeishi miaka 10 tu shughuli yake mliiona mpaka mwenyekiti ubunge chali jelaaaaa
Unasifia ulevi wa madaraka badala ya utawala bora. Hapo ndio huwa nawaelewa sana wazungu kwanini huwa wanatuita manyani.
 
Unasifia ulevi wa madaraka badala ya utawala bora. Hapo ndio huwa nawaelewa sana wazungu kwanini huwa wanatuita manyani.
Nyani mama yako pia ungemwambia. Nenda tu kwa wazungu ukajiunge na ndugu zako kina LGBTQ sijui hao ndio wanakufaa. sisi huna adabu tunakupa ya shingo tu.
 
Nyani mama yako pia ungemwambia. Nenda tu kwa wazungu ukajiunge na ndugu zako kina LGBTQ sijui hao ndio wanakufaa. sisi huna adabu tunakupa ya shingo tu.
Usingepanick ningeshangaa sana 😂
 
Usingepanick ningeshangaa sana 😂
Mimi sipanic na nakubali sisi manyani lakini manyani hata wewe wamekuzaa sasa tukiwa manyani wengi sawa tu. Uzungu wewe nenda sisi Tz yetu ni pepo yetu.
 
Mnaedit edit, halafu mnablock mkipigwa nyundo zisifike?
Haya kafanye home work na wewe
Hiyo ni march 2023 na nyingine ni june 2023
Shwain mkubwa
 
Attachments

  • inbound4313021650602649671.jpg
    103.2 KB · Views: 3
  • inbound5214740422089878554.jpg
    182.6 KB · Views: 3
Historia ni mwalimu mzuri.

Wahindi wekundu wa Marekani walifanya mikataba ya aina hii na wazungu.

Takribani miaka mia tatu na ushee sasa uzao wao wanaishi kwenye hifadhi kama wanyapori katika nchi yao ya asili.
 
Pendekezo

Ushauri Mwanasheria mkuu wa serikali afanye debate na Dr Nshala pale chuo kikuu uso kwa uso kuhusu huu mkataba wa Tanzania na Dubai. Uzuri Dr Nshala hayuko kwenye siasa ni mzalendo na msomi mzuri wa kimataifa.
 
suala hili halitaaji madahalo.
ufafanuzi wa kutosha umesha tolewa na wananchi wameelewa vizuri,
ila wapo wachache wameamua kutokutaka kuelewa kwa maksudi, hao serikali iwapuuze, maana wanataka kupoteza muda bure.
 
Naunga mkono wazo. Achague kati ya Dr. Slaa, Tundu Lissu ama Dr. Rugemereza Nshala. Mdahalo uwe mubashara kwenye Starrv, ITV na TBC wananchi tuchambue hoja.

Sent from my Infinix X689F using JamiiForums mobile app
 
Mtachambua 2025 kwenye uchaguzi, serikali ina mandate ya kufanya maamuzi sababu ndio wanaongoza nchi hatuwezi kama nchi kuwa na marais milion 61. Huyo sijui DR ni mpinzani kama wengine ndio maana kisha chukuwa upande wake na yeye ajadili kama nani nchi hii? yeye ni mwananchi kama wewe kama mimi. Anashida na huu uamuzi kama ulivyo wewe chaguzi zitakuja na siasa zitafanyika fanya kampeni mwisho wa siku wananchi watapiga kura. CCM wanatekeleza sera za chama 2020 to 2025 ndio sababu ya leo kuwepo hapo. Unashida subiri upige kura yako kwa Chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…