Kilichopo in IGA -maridhiano ya awali1. Hakuna mkataba kuna nini?
2. Kwa hiyo hata mimi ninaruhusiwa kuusaini?
3. Mamjo mengine tumuachi mola ataamua ugomvi mwenyewe na wapiga kura 2025
Mkuu kwa hili wanaongoza ni Lissu, Mbowe NA chadema tvShida ya hizi online TV ni moja wao badala ya kuweka interview nzima wanapoalikwa wanakata na kuweka vipengele wanavyodhani ni muhimu.
Wakati maelezo mengine ya muongeaji unaona kabisa yanakosa background ya halipo tokea baada ya wao kukata ili upate picha kamili.
Jambo TV inaanza kuwa no 1, kwenye political coverage wajitofautishe na vi online TV vinavyosaka with short clips to generate views; over depth of the full content.
Weka interview yote kwanza, halafu kata kata vipande; sio kila mtu anapenda kusikia nusu story.
Very good. Naona watu mnajibu kitaalam dhidi ya mwanasheria mkuu.Aje huku atuambie hii ni nini?
Ninasikitika haongei kama mwanasheria bali mwanasiasa.😀😀😀
Kaibuka
Yeye ni Jaji Kiongozi Mstaafu ndio Aziz kazungumzia leo
IGA ilipelekwa bungeni kufanyiwa nini????Kilichopo in IGA -maridhiano ya awali
An intergovernmental agreement (IGA) is an agreement made between the Commonwealth and state and territory governments. While IGAs are not legally binding, they express the commitment of governments to work together on certain objectives or goals.
Wewe kwa ujinga wako unadhani anayekomolewa ni mbowe.jinga kweli.ni bora ujifariji maana gaidi na mnyasa Mbowe kapewa za uso
Online ila maza hauziki.Kiufupi kelele zetu zitaishia online.
JPM alishindwa kufanya nini? ongeza sauti... jinga kubwatoka hapa we mpemba alishindwa magufuri kuua upinzani ndio ataweza huyu mama? Rudini kwenu uko pemba watanganyija tumeanza kuwaangalia kwa ukaribu
Uongo hutembea haraka na hasa ukiwa unaenezwa na wapumbavu kabla ukweli haujaja kumaliza kila kituMwanasheria Mkuu ni sawa la bunge dogo Tanzania....hakupaswa kuchukua nafasi ya mtetezi wa Wawekezaji....hilo ajue fika kuwa amekosea saaana tu. Haijalishi kuwa amesoma , ni mtu mzito Serikalini, amechaguliwa na Raisi n.k hapaswi kuonekana kutokea bafuni(Kusafisha uovu) Hapaswi kuchukua upande(should remain objective) na Mkataba tu na sio nani anafaa au nani anabaguliwa...kwanza...na...
Amechelewa saaan tu.
Anapaswa kufunga kabrasha zake, achukue sambusa zake, na kikombe chake cha chai arejee mtaani, aje atuelezee ukimya wake ulikuwa wa sababu zipi za msingi!
Ahsante mkuu nikuombe radhi pia kama nimekukwazaNaomba radhi mkuu
Kupata baraka kwenye haya makabrasha?Kupata baraka ndiyo maana wakatoa azimio la bunge badala ya ridhaa (ratification)