Mwanasheria Mkuu wa Serikali: Hakuna kipengele kinachozungumzia uuzwaji wa Bandari, na hakuna mkataba wowote ulioingiwa

Kama ikitokea mwanangu anataka kusomea sheria, basi ataenda kusomea nje ya Tanzania hatua zote
 
Hivi ni kweli Tanzania inaongoza Afrika kwa kuvutia watalii hizo takwimu ni za lini?GlobalData forecasts that Morocco will welcome 8.7 million international arrivals in 2022, making it the most popular destination in Africa. According to GlobalData's traveller demands & flows database, France, Spain and Germany are forecast to be the largest source markets for Morocco in 2022.
 
Hii tutakujibu December 2023, njoo kwenye bandari kwanza
 
Kilimzuia nini kuyasema hayo pale Bungeni,,?

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Anahiabisha sababu ya kupigania tumbo lake
 
Swali langu moja tu,yeye kama MWANASHERIA MKUU amehusikaje kwenye huu MKATABA?
Sijui kama unaelewa, Mwanasheria Mkuu wa Serikali akiwa mamlaka yenye dhamana AMESEMA hakuna mkataba hapo- IMEISHA HIYO
 
Contract kati nani na nani?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…