Mwanaume akikukamata umemcheat bora uachane naye tu. Wanaume huwa hatujui kusamehe mwanamke msaliti. Usijidanganye!

Mkuu kama hautajali hebu ongezea nyama hiyo stori
Daaah acha tu mkuu, ila kama kuna la kujifunza, wanawake wajue tu mwanaume anaweza kaa na maumivu hata mwaka mzima na usijue kama anatengeneza bom, kuna siku akiamua kukiwasha ndo wanafikiaga kusema wanaume wote mbwa, mashetani na majina kibao.
 
Hii ndio kanuni yangu, akijua nacheat achague moja kuondoka au kupotezea. Akiamua kupotezea basi siku nikijua ananicheat ilo litakua kosa jipya kabisa ambalo halihusiani na mimi kumcheat mwanzo maana alishaamua kupotezea.
 
Daaah acha tu mkuu, ila kama kuna la kujifunza, wanawake wajue tu mwanaume anaweza kaa na maumivu hata mwaka mzima na usijue kama anatengeneza bom, kuna siku akiamua kukiwasha ndo wafikiaga kusema wanaume wote mbwa, mashetani na majina kibao.
Ukweli mchungu
 
Utapoteza muda. Kwanza ni mali yake, yeye ndio anaamua ampe nani. Kumuoa sio mwisho wa kupenda watu wengine. Kwani anaekitumia huwa anaondoka nacho?

Kwanza ukiona ume mdaka ajue ametaka ; kama hataki ujue you will never notice kwa mwanamke smart .

Asilimia kubwa ya married man wana cheat , wanawqke wanakuaga wa mwisho kugawa nje.

Afterall ishi kwa amani, hummiliki mtu yoyote hapa duniani; yeye ndio wa kuamua awaonjeshe na wengine au hapana, sio vitisho vyako

Waafrica mjifunze kuheshimu wanawqke

Hata hizi sheria za kuoa wake zaidi ya mmoja should be the same to woman

Wanawqke weng wameolewa na they manage kuhudumia other men perfectly . Woman are also free to marry more than one man
 
Mwanamke mpaka anakusaliti kuna vitu ushapimwa mwanzon kabisa akajihakikishia kwamba huyu namuweza

Hakurupuki tu
Ubabe ni kitu cha mhimu kwenye ndoa siyo unakuwa mtu wa yes honey usirudie mamalao, nitakudunda Aisha uumie vibaya,
punguza kuchekesha
Wapo wanaume ambayo innocent guys na pia huwa wanacheatiwa kuna reason nyingi sana kuna kucheatiwa sababu ya tamaa ya hela, sex reason, kupoteza feelings na wewe n.k
 
Duuuh😃😃 nyie wanaharakati wa jinsia mnaharibu sana mambo! Kwaiyo wanawake nao waolewe na zaidi ya mwanaume mmoja
 
Wacheni kudanganyana, anae cheat ni mke au mume wa ndoa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…