Mwanaume aliyekosa akili huwa hana msaada wowote kwa mwanamke

Unaonekana huijui kabisa Tengeru, na mtazamo wako kwamba ipo kijijini kwa wakulima ni wa kitoto sana huo mtazamo.

Hao unaowaita wanawake professional walioenda shule ndio hao hao waliopo Tengeru, najua wewe ni zwazwa na hujui lolote kuhusu global village.

Mwanamke wa Tengeru ndiye yule yule wa London, ndiyo yule yule wa kwa Mpalange, ndiyo yule yule wa Nairobi nk

Unaishi nao ndani ya global village, zwazwa wahed wewe.
 
Unaiamini Rita?
 
Sema wakristo maana ndio zao wanasema yesu anaangalia nafsi yako na sio matendo ndio maana uwoya na matatoo yake anataka azindue kanisa lake na atawapata maboya tu.
Si kila ajiitaye mkristo ni mkristo.

Hao watakaokuwa wafuasi wa Uwoya hawawezi kuitwa wakristo Ila watajiita wakristo japo ni maboya waliovutiwa na Uwoya tu 😂😂
 
Kwanza kwa mtazamo wa haraka nikama huyo mwanamke hana furaha, na ukicheki sura kimekomaa kama ngozi ya goti.
Kwanza niulize huyo ni mama wa kijana ama mwanamke wake..??
 
Sasa ulitaka nikuamini wewe na mifano yako ya kijijini kwenu, si ulikuwa unabisha haya mimi nimeshaleta takwimu za serikali kwa nchi nzima, wewe na huyo mwenzio leteni na ninyi takwimu za kuaminika acha porojo
Watu wenye jazba kama wewe wengi wao huwa wanasumbuliwa na upwiru tu.

Hebu chukua hatua ukabiliane na hiyo changamoto.

Nimeshafunga mjadala
 
Watu wenye jazba kama wewe wengi wao huwa wanasumbuliwa na upwiru tu.

Hebu chukua hatua ukabiliane na hiyo changamoto.

Nimeshafunga mjadala
Mkishaishiwaga hoja huwa mnatafuta vijimaneno vya kujifariji kama hivi, wewe sema tu umeshindwa mjadala na siyo umefunga mjadala usisingizie eti mimi nina jazba sijui upwiru, wewe ndio ukabiliane na hiyo changamoto uache kuropoka vitu hovyo maana yawezekana tangu umeachika una stress unadhani kila mtu anatoa talaka kwa makosa ya kipuuzi tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Si tumeshamalizana au hujakubali tulivyomalizana?

Ishi katika takwimu za gazeti la mwananchi nami nitaishi katika takwimu zangu za global village.

Tumemalizana bibie.
 
Si tumeshamalizana au hujakubali tulivyomalizana?

Ishi katika takwimu za gazeti la mwananchi nami nitaishi katika takwimu zangu za global village.

Tumemalizana bibie.
Hizo ni takwimu za rita sio za mwananchi, global village my foot, pathetic..!!
 
Hakuna takwimu hizo Rita, Ila kwa mwananchi zipo

Pathetic...!?
Ndio maana nasema ulichoamua ni kubishana na ukweli tu, wewe kama unaona ni uongo lete takwimu zako ambazo wewe umezifanyia utafiti kwa nchi nzima, kwa sababu hao unaowabishia wamefanya utafiti ndio wakaja na takwimu hizo na siku zote tafiti hupingwa kwa tafiti tu
 
Tafiti za nchi nzima wapi na wapi!

Dunia ya Sasa inasimama kwenye Tafiti za global village na sio kainchi kalikokondeshwa na Samia.

Tumeshamalizana bibie
Haye lete sasa hizo takwimu za global village bwana mtafiti maana mwanzo ulinipa za kijijini kwenu sijui wapi huko, sasa samia anahusiana nini na ndoa na talaka za watu binafsi mbona unashindwa kuficha ujinga wako, kama umeshamalizana na mimi mbona unaendelea kubisha na kuandika uongo au hutaki kuonekana huna hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…