Mwanaume anaemsikiliza mwanamke hawezi kufeli

Ndio hivyo

Kwani uongo??
Tatizo hamtusikilizagi
Na wote mnaotusikiliza mnatoboaga Sana kimaisha
Nakubaliana na wewe ila inategemea na huyo unayemsikiliza yupo vizuri kichwani au ni wale wanaowaza vikoba kuliko hata mume wake.
 
Hizo za samsoni ni story ambazo huwezi kuzidhubitisha zaidi yakusema nmesoma au nimesikia, yawezekana hao watu kipindi hicho walikuwa siku wasikivu ila dunia ile sio sawa na dunia hii
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Attachments

  • Screenshot_20230904-190532_1.jpg
    17.2 KB · Views: 5
Acha kutupotosha sababu iliyomfanya adamu apewe adhabu ya kula kwa jasho ni kumsikiliza mkewe Eve. Mwanaume anayeongozwa na mkewe hana tofauti gari bovu.
Uvivu wa Adam ndiyo ulimponza ,yeye anajua kabisa kakabidhia kambi yeye kwanini amwache mkewe pekeyake,
 
Kumbuka kuwa sio ushawishi tu kwa mmewe bali Esta aliolewa pale kwa makusudi ili kulisaidia taifa la Israel, maana Haman alitaka kuliua taifa zima la Israel maana walikuwa utumwani. Kumbuka taifa zima walifunga usiku na mchana siku 3 kwa ajili ya hilo.
 
Haipo hivyo,

Mwanaume ndio kichwa cha familia.. Hivyo miongozo yote inatoka Kwa mume, na mke anatakiwa kutii.
Vichwa vyenyewe havina macho, vinasikiliza sauti za dada zao na mama zao halafu za mkewe hasikilizi ila hapo hapo ndipo anapolala nakuroma kabisa huku katundika miguu juu.
 
Ibrahim alipunguza mapenzi kwa Sara mkewe ndiyo maana alichukia, hata Mungu alimwambia Ibrahim msikilize mkeo , mbona kabla ya kumzaa Ishmael ulimkubalia, Samson kazi yake iliishia pale, Daudi kilimponza uzinzi wake mpaka akamuua URIA
 
Unafikiria nini kama Ayubu angemsikiliza mkewe?
Yule alikuwa anamuonea huruma mmewe, kama shida ni hiyo mbona hata wanaume wenzie hakuwasikiliza, je mwanamke yule Mshunemu alimshurutisha mmewe wakamkarimu Elisha mpaka wakapata mtoto? Na yule mke wa Nabali yule Abigaili?
 
Ibrahim alipunguza mapenzi kwa Sara mkewe ndiyo maana alichukia, hata Mungu alimwambia Ibrahim msikilize mkeo , mbona kabla ya kumzaa Ishmael ulimkubalia, Samson kazi yake iliishia pale, Daudi kilimponza uzinzi wake mpaka akamuua URIA
Kwahiyo ulitegemea baba kumchukulia poa mzazi mwenzake case study ya Ibrahim,

Kwa upande wa samson eti kazi yake iliishia hapo inamaana ilikuwa imepangwa awaue wafilisti na mwisho aje auawe kwa kudanganywa na mwanamke..πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.?
 
Yani wewe utakuwa unaishi mtaroni
Mbishi kweli
Asante wewe unayeishi ghorofani ila tambua hili Baada ya binaadamu kuasi, mwanamke alipewa adhabu mbili kuu..

1:- kuzaa kwa uchungu.

2:-Kuwa mtumwa wa mwanaume.

I'm out....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…