Umejibu hapa:Kama sitokei kwenu bwashee
YeahUmejibu hapa:
Aseee mimi ni mchaga mmoja mpumbavu tu ,ambae nilimaliza elimu yangu chuo kikuu cha udom kama mkunga na nursing.
Now bado nasoma na ninatafuta degree ya medical doctor kwa sasa , na nyie mnaodharau ma nesii na wakunga , madaktari wa bongo nyoso wa ugoko tunawajia kwa kasi ya 6 g gademitt 😁
- min -me
- bingwa kuhusu madaktari madaktari bingwa mimi naona wesesees
- Replies: 11
- Forum: Habari na Hoja mchanganyiko
Atakimbia mapema sanaNa kadi amedai, anaanza kutoa mwezi ujao, akisikia bi harusi una MOTO, atadata. 😊
labda hayo majama yaliona hilo darasa limejaa pisi kali zile wanapendaga mabosi, hapo hata mimi nasoma ila sasa ntaenda kuwa PS bosi awe dem mkali.Kuna chuo tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichanga, kukawa na kozi ya secretarial. hii kozi ya usekretari inapendelewa sana na wanawake, tukawa tunashangaa wavulana watatu wanaisomea huku darasa zima ni wasichana. tukajiuliza hawa jamaa watapata ajira wapi kama mabosi wengi wanapendelea kuwa na masekretari wanawake? Tumezoea kuona manesi wanawake tu hawa wa kiume hawana mvuto kwa wagonjwa
Halafu akimaliza anaingia side room anapiga ugali, nyama choma na pepsi ya baridiii. Bila hata kuwaza.Anatazama uchi za kila namna,
kuna kipindi niliendaga kumtembelea wagonjwa hosp ya kcmc nikapita emergency aise wauguzi wanafanya kazi ngumu sana,kuna jamaa sjui alikuwa na kidonda mguuni aise kilikuwa kinatoa harufu kali lkn nurse anasafisha wala awazi
Hebu mjengee halafu uje kupost ili wafe kabisa🤣Pesa ipo bank nashindwa naimaliza vipi😃😃
Nikisema nmjengea mama yangu ghorofa watanuna hawa digidigi 😆😆😆
Yani umefnaya nicheke kwa sauti wakati nilikuw anmejinunia zangu hapa🤣labda hayo majama yaliona hilo darasa limejaa pisi kali zile wanapendaga mabosi, hapo hata mimi nasoma ila sasa ntaenda kuwa PS bosi awe dem mkali.
kuna mkurugenzi yeye ni Me nilishangaa PS wake ni dingi tena anachomekea suruari iko kifuani.
Mkuu, unataka mvuto ama kutibiwa?? 😁😁Kuna chuo tulisoma mchanganyiko wavulana na wasichanga, kukawa na kozi ya secretarial. hii kozi ya usekretari inapendelewa sana na wanawake, tukawa tunashangaa wavulana watatu wanaisomea huku darasa zima ni wasichana. tukajiuliza hawa jamaa watapata ajira wapi kama mabosi wengi wanapendelea kuwa na masekretari wanawake? Tumezoea kuona manesi wanawake tu hawa wa kiume hawana mvuto kwa wagonjwa
ni kweli hilo darasa la fani hiyo lilikuwa na pisi kali kuliko wanafunzi wa kike waliopo kwenye fani zingine. Tuliona hao jamaa kama wanafaidi, ilibidi sie wa fani zingine tuwe tunapiga rada darasa hilo walau tuopoe wawili watatu, si unajua raha ya kuwa na wapenzi chuoni unasoma vizurilabda hayo majama yaliona hilo darasa limejaa pisi kali zile wanapendaga mabosi, hapo hata mimi nasoma ila sasa ntaenda kuwa PS bosi awe dem mkali.
kuna mkurugenzi yeye ni Me nilishangaa PS wake ni dingi tena anachomekea suruari iko kifuani.
Hiyo kozi wana ajirika mapema na kwa wingi na sio kama ina pesa.Bwashee , kazi ya hela hiyo ,acha kuwaza umatumbini tu
Kabla hawajapata uchungu.Kuna wanawake hawapendi kuzalishwa na nesi wa kiume, hawataki aone uchi
Waislam pamoja na watu wenye wivu hawapendi kabisa wake zao kuhudumiwa uzazini na wanaume. Labda itokee dharura sana au hana hela ya kumhamishia mkewe hospitali nyinginenurse wa kike huwa wanna kuwa roho mbaya sana nadhani hio kozi wangesoma tu wanaume,
Shaur yako unapiga kapu la hela tekeSitaki