Mwanaume anayepinga kuoa na ndoa halafu yupo magetoni anahangaika na masufuria kupika, ni masikini wa akili

Ndoa ni zaidi ya kuandika kingereza kibovu.
 
Umesema kweli mkuu! Na wasipo OA, WATAOLEWA!!
 
Aliekwambia Ndoa inakimbiliwa ni nani ?

Kabla Hujamtafuta Mwenzio Jitafute kwanza wewe ni nani?

Kuna wanawake Hata Kupika hawajui na Wala hawataki Kupika majumbani wakishaolewa tu ...!

Halafu wewe unahisi Ndoa ni Kupikiwa Nini [emoji1787][emoji23]!??


Take your time bro!
There are a lot than those stuffs in your head.

Mtoa Post you seems still young [emoji271] !
 
Mtu mmoja akifanya Kampeni ya Kukataa Ndoa, kwa Imani kwamba Ndoa ni kitu kibaya ni Sawa.
Na mtu mwingine akihamasisha watu kuoa kwa kuonesha uzuri wa kuoa ni Sawa pia na asizuiwe.
Japo Ndoa ni Njema achilia Mbali Changamoto zake.
Kukataa Ndoa ni Uhuni hata kama utakuwa na sababu nzuri Kiasi gani.
 
Nawahurumia sana vijana wa sasa,, sisi tuliovuka hii mitihani tuna mengi ya kusema ila ndio hivyo vijana mmevurugwa hamsikii ya wakubwa wenu,, kwa kizazi hiki cha sasa mtaishia kushangilia harusi tu na hakuna maisha mtaishi kwa furaha na amani kama ilivyokua wakati wetu,, yapo mengi yanayosababisha hali hii lakini kubwa zaidi ni malezi,, simshangai kijana anayeamua kuishi na misingi yake aliyojiwekea ya kutokuoa maana kama unapata maziwa na nyama kwa "bei poa" yanini ufuge ng'ombe,,? Siku hizi unafuga ng'ombe na ng'ombe wanaenda kugawa "maziwa na nyama" mitaani wakati gharama za kufuga unatoa wewe nyama na maziwa wanafaidi jamii yote. Mambo siku hizi yamekua hadharani kila kitu bwerere,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…