Kwahio mmoja abaki nyumbani wale oxygen ? Maisha ya sasa ndivyo yalivyo ndoa ni kusaidiana ingekuwa nje watoto wakiwa wadogo mnapeana shift ya kulea; (na hii sababu huenda it cost more for a baby sitter kuliko hata mshahara wako kama ni duni)....
Zamani hadi huu Utamaduni mama ni wa kukaa nyumbani na kulea ilitokea kutokana na kwamba shughuli za kuwinda ziliwa more perfected na wanaume kuliko wanawake (ingawa kuna tamadanu za watu wa kule Denmark wote waliwinda na wote walienda vitani na wote walipigana, Tamaduni zao zilikuwa ni za kuvamia wengine na kuwanyanganya vitu vyao..., Sasa nikuulize wewe kama Mke wako ni Samia utataka abaki nyumbani alee watoto alafu Mikataba ya DP World atasaini nani ?
Unadhani hao Panya roads ni zao la housemaids; kwa taarifa yako hilo ni zao la umasikini na marginalization na watu kukata tamaa ; Ulizia hao Panya Road kama wazazi wao can even afford Housemaids...
Tena I can argue watoto wa sasa wapo more civilized kuliko hata enzi zako wewe ujanani unadhani kupigana na kuitwa gangwe au mtaani kwamba wewe ndio mbabe ilikuwa ni sifa... (Time change kizazi cha sasa hakina mihemko zile za kukutana sehemu kupigana kuonyeshana ubabe wengine wapo kwenye simu zao wanachat au kusikiliza Tunes za wasanii (ambao na wao vijana waliojitafutia ajira) ; Let's not blame our shortcomings to the current generation..., Tulikuwa na mapungufu yetu na wao wana yao....
Perspective..., Na kwa mtizamo huo huenda ukawa na inferiority complex ambayo inaweza ikavunja uhusiano wako mzuri na mwenzako ukadhani anakudharau sababu kipato kimepanda, kumbe ni wewe una-test kiberiti unamletea za kuleta sababu ni mwanamke akae kimya ili usimwambie amebadilika - Kwahio akipata ongezeko la kipato akatae ili asikuzidi ?
Perspective na utamaduni wa sehemu husika; wenzetu wahindi pesa anashikilia Mama wala huwezi kufanya maamuzi makubwa bila kumuhisha...; Kwahio ukiamua vitu vidogo vikuendeshe kweli vitakuendesha
Huo ni kwa mtizamo wa nani na wapi ? Na binadamu wote wana mtizamo huo..... ?
Ngoja nikupe Case Study moja:
polyandry, marriage of a woman to two or more men at the same time; the term derives from the Greek polys, “many,” and anēr, andros, “man.” When the husbands in a polyandrous marriage are brothers or are said to be brothers, the institution is called adelphic, or fraternal, polyandry.
Conclusion: Things are not Black or White there are lot of Grey Areas