Kunywa ujana mashine ifanye kazi,fanya mazoeziUna pesa alfu mashine haifanyi kazi sasa nauliza huu mkusanyiko ambao pesa inakufanya uwe ukatakuwa umekupa raha gani ?
Akili kila mtu anazaliwa nayo, ila akili inakuwa activated inategemea imekuwa activated na kitu gani inaamua sana matokeo na hapo ndio huzaliwa mambo mengi. Ina matter sana nini kime activate akili ya mtu huwa ina amua juu ya mambo mengi sana1. Akili unaipima na nini??
2. Kupata maarifa sio lazima uwe na akili ama wakati sahihi kufika hauwezi justify akili yako.
3. Na wakati wa Mungu ndio wakati sahihi
Hamna sikupata, nilikua na mchezo wa kwenda angaza kabla ya kuchakataUnachakata tu π
Hukupata magonjwa?
Dah! Pole sana mkuu..Kama huyo marehem mke wangu kwenye avatar yangu,kisu haswa
Mbegu za maboga,za matikiti,kitunguu swaumu, tangawizi mazoezi ya kegel,unachakata mbususu vizuri tuUmeona ee
Akili kila mtu anazaliwa nayo, ila akili inakuwa activated inategemea imekuwa activated na kitu gani inaamua sana matokeo na hapo ndio huzaliwa mambo mengi. Ina matter sana nini kime activate akili ya mtu huwa ina amua juu ya mambo mengi sana
Wanafanana tu dunia watatu watatu.Ila wewe
Au ndiye yeye
Ulikua chuo mwaka gani na dem alikua anaishi wapiDah! Pole sana mkuu..
Kilikuwa chuma haswaa alafu anafanana na mpenzi wangu enzi za chuoni ila sio huyo wako , ila wanataka fanana
na activation ya akili huwa haina mwisho, ndio pale unakuta akili inakuwa activated na ccm mbona weweooo π π π
Inasikitisha sana kufikwa na mkeImeniuma sana
Nimesema wanafana ila sio yeye, chuo Mzumbe mkuuUlikua chuo mwaka gani na dem alikua anaishi wapi