Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Narudia tena, kuhudumia mwanamke ambaye hamjafungamana kwa lolote ni upotevu wa rasilimali, jukumu la kuhudumia ni la baba yake tu, wewe unaweza kumsaidia kidogo, tena kidogo mkuu. Resources zako zielekeze mahali sahihi, hutajuta uzeeni
Mkuu nenda bar iliyo karibu upewe bia tano Kisha unitumie bill.
 
Kama bado unatoka na demu anayehudumiwa na wazazi una safari ndefu sana mkuu...hata siwezi kubishana na wewe
Basi niruhusu nitoke na wewe coz wewe huhudumiwi na wazazi
 
Dadekii πŸ˜‚
 
Wanaume kuna ushenzi mmoja siuelewagi, kwanini kwa wake zenu mnakua wabahili sana mnakazana mtoe 50/50 ila kwa michepuko mnatoa kila kitu kizima kizima. Mnahonga magari, nyumba etc wakati huyo hawara hakulelei watoto watoto kukuhudumia ukiumwa. Mna upumbavu gani?
 
Sasa ww mleta mada una tofauti gani na mwanamke tena singo maza. Acha ujinga mambo mengne sio lazima uyatoe kwenye fikra zako fikiri alafu vunga ni ujinga ulio andika hapo juu
We jamaa mbona unanifokea hivo as if nimetaja jina lako kwenye thread yangu?
Sio lazima uchangie Kama unahisi nimeandika ujinga we pita kushoto tu
 
Thubutuuuuu!! Wataambulia kupigwa shoti, kwanza halisemi β€œBaby nipe yote” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ikiremba Haliishiki na kuisokomeza πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Hebuuu nikarare mimi uduguuu nakugawa buree!🀠🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…