Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mi sio bahili mkuu🀣 ulininukuu vibaya. Mwanamke anayestahili hongo ni mwenye cheti cha ndoa tu na mimi. Nyie vyombo vya starehe lengo litabakia kuwa starehe tu. Zingatia neno starehe. Kutiana hasara haijawahi kuwa starehe
Mkuu hapa umepiga kwenye mshono, hongera Sana
 
Za kuambiwa changanya na zako, wanaume wa jf waongo.
Huko kitaani wanahonga wakija huku nyenyenyee πŸ₯΄πŸ₯΄
Wanataka kuwabania wenzao tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunataka kizazi cha vijana wanaojitambua, hakuna mwanaume aliyetajirika au kinufaika kwa kuhonga. Zaidi sana ni majuto tu baada ya round mbili au kimoko🀣
 
Tunataka kizazi cha vijana wanaojitambua, hakuna mwanaume aliyetajirika au kinufaika kwa kuhonga. Zaidi sana ni majuto tu baada ya round mbili au kimoko🀣
Upo sahihi mkuu
 
Bora na wewe umeliona hilo mkuu ila humu wanajifanya wanasema eti anayehudumiwa ni mke tu na siyo demu, hapo sana sana utaambiwa sababu ni kwamba wake zao ni wavivu kukata viuno na kwamba wanawabania sana utamu wakidai wamechoka hivyo michepuko ndio iko vizuri, ila huyo huyo mke ndiye anayemsaidia kutafuta pesa, kulipa bili, kumlelea watoto na bado akiumwa mchepuko anaingia mitini mke ndio anabaki kuhangaika na mzigo wake
 
Maokoto niyatoe wapi udugu wangu? πŸ˜‚πŸ˜‚
Mwenyewe niko nawashangaa hawa wanaume wanaotaka kutupima kwa kutunyima pesa!!!
Na sie wakituomba kipochi manyoya tukaze mpk ndoa tuone km maisha yataenda πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚
At the end of the day nyie ndo mtaumia.Mtabaki na vipochi manyoya vyenu sisi tubaki na hela zetu afu tuone SasaπŸ˜‚
 
Ikiremba Haliishiki na kuisokomeza πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Hebuuu nikarare mimi uduguuu nakugawa buree!🀠🀣🀣🀣🀣
Si ndo hapo, ikichomoka nani atairudishia na yeye gari limewaka? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wao watoe pesa hizo kupimana imani hatupo kanisani
 
Mi sio bahili mkuu🀣 ulininukuu vibaya. Mwanamke anayestahili hongo ni mwenye cheti cha ndoa tu na mimi. Nyie vyombo vya starehe lengo litabakia kuwa starehe tu. Zingatia neno starehe. Kutiana hasara haijawahi kuwa starehe
Wake zenu ni hawahawa mnaowalalamikia hawakati viuno au Kuna wengine???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…