Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mwanaume fanya hivi ili kupima kiwango cha upendo wa mwanamke wako

Mi sio bahili mkuu🤣 ulininukuu vibaya. Mwanamke anayestahili hongo ni mwenye cheti cha ndoa tu na mimi. Nyie vyombo vya starehe lengo litabakia kuwa starehe tu. Zingatia neno starehe. Kutiana hasara haijawahi kuwa starehe
Mkuu hapa umepiga kwenye mshono, hongera Sana
 
Za kuambiwa changanya na zako, wanaume wa jf waongo.
Huko kitaani wanahonga wakija huku nyenyenyee 🥴🥴
Wanataka kuwabania wenzao tu 😂😂😂
Tunataka kizazi cha vijana wanaojitambua, hakuna mwanaume aliyetajirika au kinufaika kwa kuhonga. Zaidi sana ni majuto tu baada ya round mbili au kimoko🤣
 
Tunataka kizazi cha vijana wanaojitambua, hakuna mwanaume aliyetajirika au kinufaika kwa kuhonga. Zaidi sana ni majuto tu baada ya round mbili au kimoko🤣
Upo sahihi mkuu
 
Wanaume kuna ushenzi mmoja siuelewagi, kwanini kwa wake zenu mnakua wabahili sana mnakazana mtoe 50/50 ila kwa michepuko mnatoa kila kitu kizima kizima. Mnahonga magari, nyumba etc wakati huyo hawara hakulelei watoto watoto kukuhudumia ukiumwa. Mna upumbavu gani?
Bora na wewe umeliona hilo mkuu ila humu wanajifanya wanasema eti anayehudumiwa ni mke tu na siyo demu, hapo sana sana utaambiwa sababu ni kwamba wake zao ni wavivu kukata viuno na kwamba wanawabania sana utamu wakidai wamechoka hivyo michepuko ndio iko vizuri, ila huyo huyo mke ndiye anayemsaidia kutafuta pesa, kulipa bili, kumlelea watoto na bado akiumwa mchepuko anaingia mitini mke ndio anabaki kuhangaika na mzigo wake
 
Maokoto niyatoe wapi udugu wangu? 😂😂
Mwenyewe niko nawashangaa hawa wanaume wanaotaka kutupima kwa kutunyima pesa!!!
Na sie wakituomba kipochi manyoya tukaze mpk ndoa tuone km maisha yataenda 😂 😂😂
At the end of the day nyie ndo mtaumia.Mtabaki na vipochi manyoya vyenu sisi tubaki na hela zetu afu tuone Sasa😂
 
Mi sio bahili mkuu🤣 ulininukuu vibaya. Mwanamke anayestahili hongo ni mwenye cheti cha ndoa tu na mimi. Nyie vyombo vya starehe lengo litabakia kuwa starehe tu. Zingatia neno starehe. Kutiana hasara haijawahi kuwa starehe
Wake zenu ni hawahawa mnaowalalamikia hawakati viuno au Kuna wengine???
 
Back
Top Bottom